Unasema hakuna hela???nenda Tabata kaone mafuriko ya bar

wakusoma

JF-Expert Member
Feb 25, 2008
1,085
1,059
Hii inaitwa Mwana ukome..Tabata mmetisha..mnapata hela wapi wenzetu..bar zimetapika..40/40..pale Tabata bima..njoo the great park pale barakuda ni nyokooo..hata sehem ya kisigino hakuna.

Pita kwetu pazuri..sisimizi hapati nafasi hilo nyomi lake....nenda STK Kinyerezi.. Aibuu...pita makhirikhiri segerea hapafai..nyomi sijapata kuona tangu tunapata Uhuru

Kulikoni wenzetu hii hali ngumu kwenu haipo..tunashukuru mungu wingi wenu mnaturahishia sie kupata midudu washa yetu(Dada poa)maana hao wametapika sasa huku Tabata.

Kijana hamia Tabata. Coz ndo habari ya mjini..maisha rahisi bar zinajaa
 
Kwajana watu wa tabata watatusamehe sana tulifunga njia kwa muda mrefu kwa kuwa tulikuwa tunapitisha mzigo mkubwa kwenda kinyerezi tunaomba radhi kwa usumbufu huo.
 
Back
Top Bottom