Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Ukiiangali rangi ya kijani ni rangi inayopendeza sana, inaonyesha uoto wa asili pamoja na mimea ya kupandwa, Nchi yetu imebarikiwa sana kuwa ya kijani. Wandugu mnaonaje color code ya vazi la taifa...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Unaweza kuyaita maajabu ya aina yake baada ya Baraza la Mitihani Taifa (Necta), kutangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2018, huku shule kongwe ya Jangwani iliyopo jijini Dar es Salaam ikiwa...
1 Reactions
8 Replies
9K Views
Kwa muda sasa hasa ndani ya Wiki hii, kumekuwepo Picha inayosambazwa mitandaoni, ikiwakebehi Wahudumu wa ATCL kutokuwa na mvuto kuanzia wa sura hadi mavazi. Hata hivyo, ukweli ni kuwa, ATCL ina...
7 Reactions
227 Replies
46K Views
LOUIS CHEVROLET MBUNIFU WA MAGARI NA UTAJIRI WA MAKABURI. __________________ Francis Daudi Nilipata kusoma sehemu kwamba; Makaburi ni sehemu yenye utajiri zaidi, Kule kuna Viwanda ambavyo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nafikiria kuelekea nchini Malawi kwa ajili ya kuangalia Fursa mbalimbali za kibiashara Kwa anayeifahamu vizuri nchi hii anisaidie majibu ya maswali haya 1.Gharama za maisha zipoje mfano...
1 Reactions
37 Replies
8K Views
  • Redirect
WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KUWENI NA AIBU NA MUOGOPENI MUNGU..... Wizara ya mifugo imekuwa ni miongini wizara zinazofanya operation nyingi sana kwa upande wa samaki na mifugo. Mnamo tarehe...
0 Reactions
Replies
Views
Kwanza naomba to declare interest kwamba,mimi ni mfanyakazi wa Company tajwa hapo juu kitengo cha mauzo yapata miaka saba sasa. Wakati naajiriliwa nilimkuta dada mmoja hivi anaitwa Ruqaiya...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
  • Redirect
WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI KUWENI NA AIBU NA MUOGOPENI MUNGU..... Wizara ya mifugo imekuwa ni miongini wizara zinazofanya operation nyingi sana kwa upande wa samaki na mifugo. Mnamo tarehe...
0 Reactions
Replies
Views
Nimeangalia interview zake nyingi anaonyesha ni MTU mjuaji sana,anafikiri ye ndio anajua zaidi. Anadai mh Rais hawajahi kulaani shambulio kitu ambacho c kweli amesahau yote. Najaribu kuvaa...
12 Reactions
103 Replies
8K Views
Nahitaji kupata passport kama haki yangu ya msingi ya kiraia. Kwa shughuli hiyo nimeandaa kiasi cha laki mbili. Documents zangu ziko vizuri bila wasiwasi isipokuwa ni taarifa za wazazi, kwamba...
3 Reactions
62 Replies
7K Views
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wabunge kwenda mjengoni kazi yao ni kupiga makofi bila ya kujua kilichojadiliwa. Kuna wale huwa wakiona wenzao wanapiga makofi juu ya meza nao wanaanza kupiga. Na...
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Hongereni kwa kazi nzuri ya kuwatetea wananchi wanyonge walioko mitaani ambao kupata hata 1000 kwa siku ni shida. Lakini nyie mnakaa mjengoni huku mkibuni mambo kadhaa ya kuwaongezea wananchi...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Wadau Mimi ni mwanachuo leo nimeenda kwenye moja ya ofisi ya taifa ya takwimu huku mkoani kuomba takwimu zinazohusu masuala kadhaa ya elimu ( Gross enrollment rate,net enrollment rate, transition...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Well,nmepita hapo naona vijana wanatoka kufanya mtihan nadhan,wanaenda kudandia daladala...wamependeza na suti zao kwelkwel, Anyways,elim ni ufunguo wa maisha ila inabid tusome nyakat ndugu...
65 Reactions
320 Replies
27K Views
MUONGOZO KWA BALOZI YEYOTE ATAKAYEALIKWA KWENYE MJADALA NA TINDU LISSU Ndugu Lissu kabla sijakupa pole kwa unayodai yamekukuta ninayo mambo kadhaa yanayohitaji ufafanuzi. Awali ya yote ningependa...
9 Reactions
62 Replies
10K Views
Wala aina aja ya kuzunguka kushoto na kulia kutafta nikwanini tufanye hvyo ila kama kuna binadamu hapa duniani aliwai kupigwa risasi ata saba akapona basi nafikiri ni wachache mno. Napendekeza...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna kitu ambacho Mwalimu alikijenga kwa Watanzania ambacho kwa zama na nyakati za kizazi cha sasa uwa napenda kusimama pembeni dhidi ya misimamo yake hiyo Baba wa Taifa.Nakubali kwa nyakati zake...
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Kagga Kamma(South Africa) Breathe in the fresh air and enjoy the peaceful atmosphere of the Reserve. Kagga Kamma not only offers guests spectacular scenery and absolute tranquillity, but also...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mnalo jukumu la kutetea haki za binadamu, mnalo jukumu la kutetea haki za watu nje na ndani ya mahakama.Mnalo pia jukumu la kutoa elimu pamoja kuwahabarisha wananchi. Naomba mfanye kazi moja...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
Toka wiki iliyopita nikiingia JamiiForums nakutana na nyuzi nyingi kuhusu Lissu na ziara zake nchi za Magharibi. Juzi nikasema nifanye utafiti; je, wananchi wa kawaida mitaani ambao sio member wa...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom