Kwenu Management ya Coca Cola Kwanza Limited

Oct 3, 2017
5
45
Kwanza naomba to declare interest kwamba,mimi ni mfanyakazi wa Company tajwa hapo juu kitengo cha mauzo yapata miaka saba sasa.

Wakati naajiriliwa nilimkuta dada mmoja hivi anaitwa Ruqaiya kitengo cha Mauzo,idara ya Key Account akiwa kama Regional Sales Manager wa kitengo hicho.... Ingawa mimi sikuwa nafanya nae kazi,lakini vijana wengi sana waliopita kwenye kitengo chake aliwafanyia roho mbaya wakawa wanafukuzwa kazi au wanaacha wenyewe tokana na roho mbaya yake.

Bahati nzuri naye akajwa fukuzwa kazi na boss wake Nalaka,watu wakafurahi,wakafanya na sherehe babu kubwa,lakini Nalaka akaja akaacha kazi nakurudi huko alikokua, Kwa sababu Ruqaiya yupo karibu sana na MD,akafanya janja akarudi tena kazini Coca Cola Kwanza.....

Baada yakurudi kazini,huyu dada kawa mwizi wakupindukia,sio kwamba namwonea wivu la hasha,nakereka sana na tabia yake mbaya,anaiba yeye halafu anasakizia wenzake wanafukuzwa,mfano mmoja juzi kati kuna wizi umetokea dogo anaitwa Tumain kafukuzwa kazi,lakini Ruqaiya anahusika sana tena sana kwa wizi wa mali za Coca Cola Kwanza.

Ruqaiya anashirikiana na watu wa Finance kubambikia watu invoice,kafukuzwa mtu mwingine Ruqaiya kabaki anapeta na roho yake mbaya,Ruqaiya anatoa complementary lakini hua zinaenda kuuzwa na wanapiga deal pamoja na dereva mmoja ambaye kafukuzwa Ruqaiya kabaki anatesa..

Najua watu wa Idara ya HR mpo mtaani kufanya upembuzi yakinifu,lakini najua mtakuja na jibu lakusema Ruqaiya hahusiki.. Wewe Scholastica Augustine HR upande wa idara ya Sales umekua kirusi hatari sana,unajidai mlokole kumbe unamteteaga sana huyo shoga yako Ruqaiya kwenye matatizo,unafanya upendeleo kwa kushirikiana na Ruqaiya mnafukuza watu kazi.

Wewe Ruqaiya maisha ni mafupi,acha kua na roho mbaya,unapandikiza chuki kwa vizazi vyako,leo upo kesho haupo,wanaweza kuja feel za pinch ndugu zako au watoto wako,watu wanafamilia zao,lakini wewe unaona poa tu wafukuzwe kazi.

Josephine na wewe usimbembe huyu Ruqaiya ni nyoka mbaya sana,tunajua ni shoga yako,lakini kumbukeni kuna kubadirika kwa Management mtakuja pata tabu sana acheni kutumia vyeo vyenu kutesa familia za watu....

Kwako MD wetu Basil,najua unamajukumu mengi sana hasa baada yakupewa majukumu mengine huko Msumbiji ya kuwa MD wa huko pia,jaribu kua karibu na vijana wako wa ngazi ya chini uweze kupata mambo mawili matatu,namna gani Manager wako Ruqaiya,Director wako Jisephine na HR wako Scholastica Augustine wanavyoua nguvu kazi ya Kampuni yako...

Nikutakieni nyote Jumapili njema....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kukumdogo

JF-Expert Member
Feb 1, 2011
2,636
2,000

Huu ni umbea sasa. Kwanini usiandike barua ya malalamiko na kuniletea ofisini? Acha uchonganishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kawoli

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
5,675
2,000
Unajua taarifa isipofika sehemu sahihi inabaki kuwa ni majungu na wivu. Hapo kokakola Kwanza najua Kuna mifumo rasmi ya utoaji taarifa. Sasa hivi hata kupitia akaunti za sosho midia unaweza kufikisha ujumbe as anonymous au feki akaunti. Otherwise ungewatag huku hao unaokusudia kuwapa ujumbe huu Kama unazifahamu akaunti zao hapa jf. Vinginevo ni majungu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eng Kahigwa

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
752
1,000
Kwanza naomba to declare interest kwamba,mimi ni mfanyakazi wa Company tajwa hapo juu kitengo cha mauzo yapata miaka saba sasa.

Wakati naajiriliwa nilimkuta dada mmoja hivi anaitwa Ruqaiya kitengo cha Mauzo,idara ya Key Account akiwa kama Regional Sales Manager wa kitengo hicho.... Ingawa mimi sikuwa nafanya nae kazi,lakini vijana wengi sana waliopita kwenye kitengo chake aliwafanyia roho mbaya wakawa wanafukuzwa kazi au wanaacha wenyewe tokana na roho mbaya yake.

Bahati nzuri naye akajwa fukuzwa kazi na boss wake Nalaka,watu wakafurahi,wakafanya na sherehe babu kubwa,lakini Nalaka akaja akaacha kazi nakurudi huko alikokua, Kwa sababu Ruqaiya yupo karibu sana na MD,akafanya janja akarudi tena kazini Coca Cola Kwanza.....

Baada yakurudi kazini,huyu dada kawa mwizi wakupindukia,sio kwamba namwonea wivu la hasha,nakereka sana na tabia yake mbaya,anaiba yeye halafu anasakizia wenzake wanafukuzwa,mfano mmoja juzi kati kuna wizi umetokea dogo anaitwa Tumain kafukuzwa kazi,lakini Ruqaiya anahusika sana tena sana kwa wizi wa mali za Coca Cola Kwanza.

Ruqaiya anashirikiana na watu wa Finance kubambikia watu invoice,kafukuzwa mtu mwingine Ruqaiya kabaki anapeta na roho yake mbaya,Ruqaiya anatoa complementary lakini hua zinaenda kuuzwa na wanapiga deal pamoja na dereva mmoja ambaye kafukuzwa Ruqaiya kabaki anatesa..

Najua watu wa Idara ya HR mpo mtaani kufanya upembuzi yakinifu,lakini najua mtakuja na jibu lakusema Ruqaiya hahusiki.. Wewe Scholastica Augustine HR upande wa idara ya Sales umekua kirusi hatari sana,unajidai mlokole kumbe unamteteaga sana huyo shoga yako Ruqaiya kwenye matatizo,unafanya upendeleo kwa kushirikiana na Ruqaiya mnafukuza watu kazi.

Wewe Ruqaiya maisha ni mafupi,acha kua na roho mbaya,unapandikiza chuki kwa vizazi vyako,leo upo kesho haupo,wanaweza kuja feel za pinch ndugu zako au watoto wako,watu wanafamilia zao,lakini wewe unaona poa tu wafukuzwe kazi.

Josephine na wewe usimbembe huyu Ruqaiya ni nyoka mbaya sana,tunajua ni shoga yako,lakini kumbukeni kuna kubadirika kwa Management mtakuja pata tabu sana acheni kutumia vyeo vyenu kutesa familia za watu....

Kwako MD wetu Basil,najua unamajukumu mengi sana hasa baada yakupewa majukumu mengine huko Msumbiji ya kuwa MD wa huko pia,jaribu kua karibu na vijana wako wa ngazi ya chini uweze kupata mambo mawili matatu,namna gani Manager wako Ruqaiya,Director wako Jisephine na HR wako Scholastica Augustine wanavyoua nguvu kazi ya Kampuni yako...

Nikutakieni nyote Jumapili njema....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

BRO SANTANA

JF-Expert Member
Jun 15, 2015
1,849
2,000
Mtoa mada pole sana lkn kiukweli makazini kuna watu wana roho mbaya sana.
Mtoa mada toa taarifa sehemu sahihi kiitelijensia wamtegee mtego huyo fedhuli ili ukweli uje kupatikana hadharani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iceberg9

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
15,870
2,000
Fikisha lalamiko lako sehemu husika taratibu za offisi unazijua, unaweza kuwa na hoja na kwa kuwa umetupa hadharani hutashambuliwa kama uonavyo kwa kuwa hawa jamaa humu hawana uchungu na maslahi na mambo yanayowahusu offisi yenu

Respect is reciprocative
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom