• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Vazi la taifa kuwa na rangi ya kijani.

  • Thread starter Ivonovsky da White
  • Start date
Ivonovsky da White

Ivonovsky da White

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
1,492
Points
2,000
Ivonovsky da White

Ivonovsky da White

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
1,492 2,000
Ukiiangali rangi ya kijani ni rangi inayopendeza sana, inaonyesha uoto wa asili pamoja na mimea ya kupandwa, Nchi yetu imebarikiwa sana kuwa ya kijani.
Wandugu mnaonaje color code ya vazi la taifa iwe ya kijani na utambulisho wa Mtanzania hata anapokuwa ughaibuni awe ndani ya clothes za kijani.
Wanafunzi wa vyuo, shule za msingi na sekondari, wabunge, viongozi pamoja na raia wote Tz tupige mavazi ya rangi kijani. Inapendeza sana.
1986432_IMG.jpg
 
penadu

penadu

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2016
Messages
479
Points
1,000
penadu

penadu

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2016
479 1,000
Ukiiangali rangi ya kijani ni rangi inayopendeza sana, inaonyesha uoto wa asili pamoja na mimea ya kupandwa, Nchi yetu imebarikiwa sana kuwa ya kijani.
Wandugu mnaonaje color code ya vazi la taifa iwe ya kijani na utambulisho wa Mtanzania hata anapokuwa ughaibuni awe ndani ya clothes za kijani.
Wanafunzi wa vyuo, shule za msingi na sekondari, wabunge, viongozi pamoja na raia wote Tz tupige mavazi ya rangi kijani. Inapendeza sana.
Umetumwa au umekuja mwenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dwight

dwight

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
470
Points
225
dwight

dwight

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
470 225
Ukiiangali rangi ya kijani ni rangi inayopendeza sana, inaonyesha uoto wa asili pamoja na mimea ya kupandwa, Nchi yetu imebarikiwa sana kuwa ya kijani.
Wandugu mnaonaje color code ya vazi la taifa iwe ya kijani na utambulisho wa Mtanzania hata anapokuwa ughaibuni awe ndani ya clothes za kijani.
Wanafunzi wa vyuo, shule za msingi na sekondari, wabunge, viongozi pamoja na raia wote Tz tupige mavazi ya rangi kijani. Inapendeza sana.
Huu muda uliokaa kuharisha mashudu hapa kwanini usingefagia hata hapo ulipo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
28,747
Points
2,000
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
28,747 2,000
Tatizo inafanana na rangi ya bendera ya CCM, ninaichukia hii rangi kama ninavyoichukia vote 20 ya bunge inayotumika kuiba kodi zetu
 
Nyaka-One

Nyaka-One

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Messages
3,297
Points
2,000
Nyaka-One

Nyaka-One

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2013
3,297 2,000
Sijui mleta hoja utajisikiaje iwapo hoja yako itaridhiwa na waliopewa dhamana na hatimaye ikawa chanzo cha yale yaliyotokea Rwanda 1994 kutokana na watu kuchoshwa na dharau za kundi fulani.
 
Clarity

Clarity

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2010
Messages
1,202
Points
2,000
Clarity

Clarity

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2010
1,202 2,000
Hivi kweli hatuna mambo muhimu ya kujadiliana mpaka leo hii tunajadili vazi la taifa
Duh aliyeiroga nchi hii alipatia sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
interlacustrineregion

interlacustrineregion

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2018
Messages
7,215
Points
2,000
interlacustrineregion

interlacustrineregion

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2018
7,215 2,000
Yaani vazi la Chama ndilo unataka utuvalishe nchi nzima!??

Mbona mnawaza kuturudisha nyuma sana?

Eti uoto wa asili! Kuna nchi isiyo na uoto wa asili?

Sent using Jamii Forums mobile app
USHAFIKA GREENLAND AU JANGWA LA SAHARA, AU ANTAKTICA?

PUNGUZA MIHEMUKO HII DUNIA NI PANA KULIKO UNAVYOONGOZWA NA HISIA ZAKO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined
Aug 12, 2011
Messages
6,184
Points
2,000
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined Aug 12, 2011
6,184 2,000
Ukiiangali rangi ya kijani ni rangi inayopendeza sana, inaonyesha uoto wa asili pamoja na mimea ya kupandwa, Nchi yetu imebarikiwa sana kuwa ya kijani.
Wandugu mnaonaje color code ya vazi la taifa iwe ya kijani na utambulisho wa Mtanzania hata anapokuwa ughaibuni awe ndani ya clothes za kijani.
Wanafunzi wa vyuo, shule za msingi na sekondari, wabunge, viongozi pamoja na raia wote Tz tupige mavazi ya rangi kijani. Inapendeza sana.
Sasa hilo litakuwa vazi la taifa au rangi ya taifa? Inawezekana mimi ndiye sielewi!...
Kwa hali hii nchi hii sidhani kama tutafikia huko kwenye uchumi wa viwanda...
 
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined
Aug 12, 2011
Messages
6,184
Points
2,000
Bishop Hiluka

Bishop Hiluka

Verified Member
Joined Aug 12, 2011
6,184 2,000
huu mwandiko wa kilaza 100%, unazijua criteria za kuchagua vazi la taifa? f#la kabisa wewe
Ni nchi gani duniani waliowahi kuwa na kamati za kutafuta vazi la taifa?...
 
Nelson Mwombeki

Nelson Mwombeki

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2018
Messages
2,956
Points
2,000
Nelson Mwombeki

Nelson Mwombeki

JF-Expert Member
Joined May 2, 2018
2,956 2,000
Ukiiangali rangi ya kijani ni rangi inayopendeza sana, inaonyesha uoto wa asili pamoja na mimea ya kupandwa, Nchi yetu imebarikiwa sana kuwa ya kijani.
Wandugu mnaonaje color code ya vazi la taifa iwe ya kijani na utambulisho wa Mtanzania hata anapokuwa ughaibuni awe ndani ya clothes za kijani.
Wanafunzi wa vyuo, shule za msingi na sekondari, wabunge, viongozi pamoja na raia wote Tz tupige mavazi ya rangi kijani. Inapendeza sana.
Nigeria tayari kijani imetawala kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
interlacustrineregion

interlacustrineregion

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2018
Messages
7,215
Points
2,000
interlacustrineregion

interlacustrineregion

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2018
7,215 2,000
Ni sehemu ndogo sana ya dunia uliyoitaja.
Mke Mmetumia akili ndogo sana kuliwazia hilo jambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani unateseka sana ukinijibu kwa hoja za mantiki bila matusi Chifu?

Haya ww hisia zimekutuma kuwa hiyo rangi ya kijani ni rangi ya CCM, je vipi mwingine akija kusema inashabihiana na rangi ya Yanga FC?

Fikirisha akili zako kiupana wala siyo akili ikuongoze ww Chifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,406,209
Members 532,237
Posts 34,508,800
Top