Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Hapa ni malimbe,sehemu inaitwa nyamalango,kwa mbele kuna migahawa ambayo wanafunzi wa SAUT na wakazi wa eneo hili hujipatia chakula chao pamoja na mahitaji mengine Uchafu huu huachwa hovyo hovyo...
0 Reactions
0 Replies
21 Views
Maskini wa Roho walishangilia sana kukamatwa na kupigwa pingu kwa bilionea wa TILISHO BUS pale Mbezi Stendi. Maskini hao hawakuishia hapo, walimzomea na kumdhihaki as if alikuwa anawanyimafedha...
2 Reactions
5 Replies
104 Views
Mahusiano ni jambo zito sana ila ndoa ni nuclear ya mambo mazito mnoo. Wengi wapo na wenzi wao physically kwa sababu inambidi tu kutokana labda ndoa au watoto wanao share pamoja ila kihisia yupo...
7 Reactions
48 Replies
1K Views
Pussy Mwandu Mpwechelo Kipochi Mfumo
1 Reactions
40 Replies
463 Views
Haya matangazo ya mavazi yake yamekuwa ya kudhalilisha sana. Kama sisi haogopi kutukalia uchi basi awaopoge hata ndugu zake? Baba na mama yake si hawafikiwi na hizi video za X? Au ndio kusema...
6 Reactions
34 Replies
583 Views
PRIME 3RD BEACH PLOT FOR SALE 🌴🌊 📍 Location: Mbezi Beach, Kidimbwi 📏 Plot Size: 2,509 SQM ✅Fenced: with Planted Palm Trees ✅Title Deed: Ready ✅Suitable for: Apartments, Villa...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
1. Myebusi siyo romantic. Huwezi mkuta Myebusi anabembeleza demu au anakuwa romantic. Yupo very strict and calm. Ila anajua sana kulea familia. 2. Myebusi hakimbii mtoto au mke. Myebusi unaweza...
3 Reactions
17 Replies
134 Views
Hiii ni kwa mabimkubwa wote Duniani Sijui kwanini huwa kuna upendo mkubwa kutoka kwa mzazi hasa mama kwa watoto wake
0 Reactions
0 Replies
22 Views
Msodoku ni mwanaume rijali na ngangali hasa mwenye mfumo dume na mkakamavu. Anayejua majukumu yake ni kumlinda mwanamke. Wanaume waliumbwa hivyo wawe Wasodoku kisha Wayebusi. Basi tu wakaja...
0 Reactions
0 Replies
15 Views
Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye ameshanyonya ub***o wa mwanaume mwingine.. Siwezi kuoa MWANAMKE ambaye amewahi kukaa Dog style kwa wanaume wengine Never Uvumilivu huo sina
3 Reactions
8 Replies
72 Views
Mtangazaji wa Radio 47 Kenya, Captain Emmanuel Mwashumbe, ameibua maswali kuhusiana na uamuzi wa Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Emmanuel Nchimbi, kutangaza kujiuzulu na kustaafu siasa kuanzia...
1 Reactions
1 Replies
71 Views
Kama maombi kweli kweli yatatatua matatizo, basi umaskini ungeisha, magonjwa yangeponywa, rushwa ingeisha, na majanga yangezuiliwa kwa kuomba tu kwa bidii. Lakini uhalisia haupo hivyo. Watu...
13 Reactions
87 Replies
715 Views
Ukichunguza vizuri hasa Afrika wajumbe wengi ni wachumia tumbo wakipewa posho tu kwisha habari ni kupitisha tu au kupinga tu hakuna wenye uwezo wakuchakata jambo (tazama wajumbe simba na yanga...
0 Reactions
4 Replies
43 Views
Hizo ramli zangu ......na pm lazima awe timu msoga au mchengerwa
1 Reactions
14 Replies
176 Views
Mimi hapa kuna kitu nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu boss wangu. Kuna muda anaweza kukaa kimya kabisa, hata kazi ikiwa ipo, hanitafuti. Lakini akiona status yangu nimeenda sehemu fulani...
4 Reactions
22 Replies
358 Views
Mwanafunzi wa UDSM , semister imeisha akaamua kubaki Dar kutoa ushamba na kufanya Filed kiwanda cha kusafisha maji taka Tabata Dampo. Pichani ni jioni baada ya taarifa ya Habari , Shem na Mumewe...
6 Reactions
43 Replies
655 Views
Nimeona vijana wakipambana kusoma course mbali mbali, believe me hapa Tanzania hakuna course yoyote utasoma ujiajiri, hakuna na ukifanikiwa kujiajiri inabidi ukaze hasa. Sio mbaya lakini Data...
2 Reactions
5 Replies
102 Views
Edina Chaula (23), mkazi wa Mtaa wa Kihesa, Halmashauri ya Mji wa Njombe, amekutwa amefariki dunia ndani ya chumba chake baada ya kudaiwa kukosa hewa kutokana na kupaliwa na chakula. Kamanda wa...
3 Reactions
15 Replies
279 Views
Baba mtumishi Tunaomba tuwekewe watafsiri wanaojua kingenge vzuri kwenye kutafsiri kiswa kwenda kinge wasiwe wanabahatisha ama kumumunya mdomo Tunaojua kingereza pekee tunateseka sana kuwaelewa...
4 Reactions
12 Replies
123 Views
Wakuu, siku hizi imekuwa kama fashion — mwisho wa mwezi watu fulani wanajitokeza ghafla kukutafuta, si kwa sababu wanakukumbuka, bali wanatafuta namna ya kukuomba hela kwa ujanja. Utagundua mtu...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…