Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,183
- 26,552
Maskini wa Roho walishangilia sana kukamatwa na kupigwa pingu kwa bilionea wa TILISHO BUS pale Mbezi Stendi.
Maskini hao hawakuishia hapo, walimzomea na kumdhihaki as if alikuwa anawanyimafedha.
Maskini hao ndio wamiliki wa Maduka Pale Stendi na hawalipi Kodi.
HABARI.
Maduka kuondolewa a kuwekwa vibanda vya tiketi na ofis za mabasi.
Walicheka wa kwanza, Sasa Watalia wa mwisho