Mwalimu anafanya kazi kituo kimoja mpaka anafanana na wanakijiji akiomba kuhama anaambiwa watumishi hawaatoshi
1. Huyo mtumishi amekaa kituo kimja zaidi ya miaka kumi, anaomba uhamisho tena...
Nimesikia kuna mtu anasema hadharani na wengine wanamsema wazi pia alikuwa mwizi kibaka anaibia watu mtaani ila sasa hivi katulia zake anatafuta riziki kwa njia halali.
Mtu wa aina hii hatakiwi...
Moja ya mambo yanayoua furaha, amani ya akili, na uwezo wa watu wengi leo si vita wala umaskini pekee bali ni tabia ya kujilinganisha na wengine.
Unapoanza kupima thamani ya maisha yako, hatua...
Kwenu economists, electrical engineers, Insiders and planners, hivi magu aliwezaje ku-control issue ya umeme na haikuwa burden kama tulivyozoeaga?
Karibuni.
===================...
Karibuni JF queens.
Karibuni JF kings
Mdada ulishawahi kumuacha mkaka kisa tu alikuwa hana uwezo mkubwa wa mali? Je unadhani ulifanya fair? Je upendo unahitaji gear ya pesa na matanuzi?
maamuzi mengine kumpa mtu magumu....
Mimi nimempigia ila kuna maneno kaniambia..
BOyfriend wake line yake inakuaga imezimwa kwa sababu ya madeni
( kwanini azime )red flag sign
2...miezi mitano...
Wengi wenu mna mapishi ya hovyo. Kwenye restaurant zenu vyakula ni vya kusubiri upikiwe ila vikiletwa mara nyingi havijaiva na vina ladha ya kukera. Ni lodge moja tu inaitwa Nyati kule Tunduma...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Msichana wa miaka 16, mkazi wa Kijiji cha Msoga, Wilaya ya Chalinze, kwa tuhuma za kumuua mama yake mzazi, Hadija Hemedi Shaha (51), aliyekuwa mkulima...
Magari ya umeme (EV – Electric Vehicles) ni magari yanayotumia umeme badala ya mafuta (petrol/diesel). Badala ya injini ya mwako wa ndani (internal combustion engine), yanatumia electric motor na...
Jamaa ananiambia ofisini kulikuwa na changamoto kadhaa ofisini, wenzake wakamuomba awasemee kazini, siku ya kikao alieleza hoja zote walizokuwa wamekubaliana.
Hata hivyo, uongozi ulipoanza...
Baadhi ya waislamu kwenye mitandao ya kijamii wanadai yanayomtokea Dotto Magari ni laana kutoka kwa Allah kwasababu amekua akiudhalilisha uislam kwa kula kitimoto na kuvaa cheni ya dhahabu ya...
Fikiria ukiwa katikati ya Bahari ya Hindi, mawimbi yakiwa yametulia na upepo mwanana ukipuliza. Ghafla, mbele yako unatokea kiumbe kikubwa kisicho na umbo la kawaida. Si nyangumi, si papa, wala si...
Hata kama ni kweli wameumbiwa kutoa na kuwajibika, bado wana mioyo ya kipekee. Wanaume wengi wana roho nzuri, si wachoyo linapokuja suala la kuwajali watu wanaowapenda.
Unakuta mwanaume ana...
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Galula wilayani Songwe, Nisetas Dimoso amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wanaodaiwa kuwa wafugaji, kufuatia jitihada zake za kuzuia mifugo kupita ndani ya...
Salute.
Naomba niende kwenye maada mimi kama askari (mlinzi) wa kampuni binafsi wa Garda world nimeamua kutumia platform hii kuleta kero ya kiongozi wetu mkuu wa kampuni ya ulinzi Garda world...
Animals never let the weakest or least intelligent members lead their groups, unlike humans.
Man thinks he is smarter than animals because he built a house. But animals can survive in snow, heat...