Nilipita jana barabara hii, kipande cha kutoka Endasaki mpaka ufike Dareda Barabara Kuu ya Singida Babati, kwa kifupi ina mashimo mengi na makubwa sana jambo ammbalo ni hatari kwa watumiaji wa...
Akizungumza hivi karibuni kando ya Mkutano Mkuu wa 21 wa Shirikisho la Mabaraza ya Maaskofu Katoliki Afrika Mashariki na Kati (AMECEA) ulifanyika jijini Nairobi, Rais wa Baraza la Maaskofu...
Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
Barabara ya kutoka Ibanda mpaka Kyela Mjini imegeuka kero kwa watumiaji kutokana na barabara hiyo kujaa mashimo ya muda mrefu, pia kumekuwa na matukio ya ajali zitokanazo na mashimo hayo...
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais (Baraza la Mawaziri Zambia) Prof. Lackson Kasonka atembelea banda la Tanzania katika Maonesho ya 98 ya kilimo na biashara Zambia, apongeza huduma za kibingwa na...
Kwa mnaofahamu Barbara hiyo tajwa hapo juu naombeni maoni yenu.
Naona kama jamaa ninaotaka kufanya biashara NAO Wana maneno mengi , je Barbara ni lami , ina ubora Gani, vip usalama upo, sehemu...
Prof. Lackson Kasonka, Katibu Mkuu (SD) kutoka Ofisi ya Rais (Baraza la Mawaziri) Zambia, akipokea zawadi kutoka kwa Prof. Reuben Mutaganywa (Daktari Bingwa Mbobezi MOI) baada ya kutembelea banda...
Siku hizi mwanamke akienda sokoni akiwa ananunua matango akiyashika na kuchagua kubwa soko Zima macho kwake! 👀 👁️
Mtu ukienda kununua mafuta ya nazi unaenda kununua kwa kificho wakati unaenda...
Wakazi wa Mwenge TRA tumechoka na kero ya umeme kukatika kila siku, sometimes inaharibu hata shuguli za kupata riziki tumechoka kwa kweli.
Soma Pia: Wakazi wa Ulongoni A, Kinyerezi tuna...
Mtandao wa barabara nchi uko hatarini.
Kote unakoweza kupita barabara za lami zimeanza kubomoka kwa kasi ya kutisha.
Shughuli zangu zinanifanya kutembea sehemu nyingi nchi, kw gari...
Wakuu hi barabara tunasubiri Nini Kuitanua? Niliona kafulila kamfurusha Mbia ambaye alitaka Kufanya huu mradi na Serikali Kwa mode PPI ajenge halafu a impose Toll fee,
Baada ya Kuongea vile...
Nina muda wa takribani miaka 10 sijapita barabara ya Mwanza–Mara, lakini sasa nimeipita. Ebwana wee! 🤔
Kuanzia Kisesa, Magu hadi Ramadi, barabara imeharibika kiasi cha kuonekana kama...
Eti wakuu, mnamuona huyu konda? Kumbe inawezekana tu wakavaa vizuri ila huwa wanavaa kama vile hawajitaki, unakuta hata wakivaa zile sare zao wanavaa ilmradi tu.
Hii ni Barabara Kuu ya kutoka Mwanza hadi Arusha, nimepita hapo hilo ni eneo la Katesh Mjini Wilayani Hanang Mkoani Manyara, magari yameamua kuacha kupita kwenye lami yanapita kwenye Barabara ya...
Barabara ya Singida–Babati–Arusha ina mashimo mengi na hali yake ni mbaya. Wahusika, je, mnaliona hili? Tunaomba mlifanyie kazi kwani hali ni mbaya.
~ TANROADS: Tunaendelea na matengenezo...
Wezi wa simu na porch kuna namna wapo connected na mawakala wa pesa mitaani na hawa mawakala wana watu wao inside kwenye mitandao hii tunayoiamini so mitandao ya simu sijui bank siyo wa kuwaamini...
Kuna mtu ameshitaki airtel na kuifungia namba ya mtumiaji wa airtel ilihali mwenye namba ndie mmiliki nmhalali na ndie aliesajilia NIDA namba yake airtel Tanzani naombeni majibu tafadhali
Ninayo masikitiko makubwa kuwataarifu msiba wa mwenzetu Erick Kalemela uliotokea nchini India jana tar 23 Mei 2022 saa 3 asubuhi majira ya India, alipokuwa anapokea matibabu.
Mwili unatarajiwa...