Maana unaweza kusema, "Ninakubalika." Sawa, lakini unakubalika na akina nani?
Ni watu wa aina gani wanaokukubali?
Kwa sababu si kila anayekukubali anaelewa hata maana ya kukukubali.
Wengine...
Hili gari linatoza nauli tofauti na kilichoandikwa hapo, abiria ukilalamika wanasema mafuta yako juu, kwani sisi wananchi sauti zetu tuzipaze wapi?
Kinyerezi hadi Mlimani City abiria unakatwa...
Democracy for Citizens Party (DCP) leader Rigathi Gachagua has blamed President William Ruto's administration for the relocation of the British Army Training Unit Kenya (BATUK) activities from...
Katika ulimwengu huu muishio wamatumbi mmekua nyumbu kwa sababu hamjui dhana kuu ya uwepo wenu...
Mmekalia superficial things... Hamjui ya kuwa maisha ni mifumo, mnachojua ni kuwa hela ndo msingi...
Kwanini daladala zinazosafirisha abiria kutokea eneo la Gerezani / Shule ya msingi Uhuru kuelekea Temeke hususani Buza zinatoza nauli kubwa tofauti na bei elekezi ya serikali? Bei elekezi ya...
Kuna hii route ya Chamazi kwa Mapunda kuja Mbagala, hizi dalala zimeongeza nauli kutoka mia sita mpaka mia nane na haizidi kilometa hata nane kwa umbali huu.
Licha ya SUMATRA kutaja bei elekezi...
Habarini wanaJF,
Mimi ni mfanyakazi katika jiji hili la Arusha,ninaishi maeneo ya sakina silent inn huku kazi nafanyia Sanawari.
Hapo kabla hata ya mamlaka zinazohusika (LATRA)kupandisha...
Daladala za Kisemvule - Gerezani zimekuwa kero, tangu nauli zimepanda Mei 1, 2026 haziji kituoni badala yake zinapaki kona ya Gold Star na nauli watu wanalipishwa sh 1,900 ukiifata kule kona swali...
Tunapata changamoto Magari ya Mbezi To Makumbusho Via Kimara Hayapakii Ruti Ya Makumbusho yanaishia Magomeni Ni Kero Kwa Abiria Wengi Ndani ya Stendi ya Mbezi Luis.
Pia soma ~ LATRA: Tumeanza...
Kumekuwepo na changamoto ya baadhi ya daladala kusitisha route katika maeneo mengi nchini.
Mwezi wa nne mwaka 2026 nilikaa Arusha kikazi kwa karibu mwezi mzima. Nilikuwa nakaa eneo la Atomic...
Kabla ya kupanda kwa mafuta nauli za daladala ilikuwa shilingi mia saba 700/= kwa abiria lakini kila ikifika jioni kuanzia saa 1 na kuendelea hupanda mpaka shilingi elfu moja 1000/=, kila abiria...
Kwanini daladala za Mbeya wanachukua nauli shs 1000 badala ya nauli halali ya shs 700-800.
na wakati umbali hauzidi hata km 10 ??
Mfano kutoka Uyole hadi Kabwe au Mwanjelwa ni Km 7 lakin...
Nyoka aina ya koboko anadaiwa kuweka kambi katika eneo la Mlimani City kata ya Ng'ambo manispaa ya Tabora ambapo amegeuka kuwa tishio la maisha kwa wananchi wa mtaa huo.
Katika jitihada za...
Kwa nini Waafrika Wakristo wanaogopa kuwapa jina la Yesu watoto wao wa kiume?
Ulaya, Marekani Kusini na Kaskazini watoto wanapewa Jina la Yesu, Waarabu na Waislamu wanawapa watoto jina la Issa...
Ukiangalia historia ya south africa na leo walipo ni ushaidi tosha jinsi walivyofanyiwa ndio wamefikia pale kama walivyo akili zao na maisha yao ya ajabu.
Ukienda USA kuna tabia za watu weusi wa...
Yanapozidi moyoni inabidi kuyatoa hdharani.. Lakini katika kuyatoa hakikisha unakuwa makini kwakuwa mwisho wa siku inabidi ubaki kuwa wewe!
Yatoe lakini kwa tahadhari kubwa kwakuwa privacy yako...