Nina hoja kuhusu baadhi ya daladala zinazofanya safari kati ya Mwenge na Bunju, hasa nyakati za jioni. Kuna baadhi ya magari ambayo yamekuwa na utaratibu wa kuwatangazia abiria kuwa yanaishia...
Tokyo Japan
Wengi wetu tunawachukulia Wazungu kama watu wenye ustaarabu lakini sio kweli kama tunavyodhani.
Japan ina watu waliostaarabika kuliko wazungu na kwa mtu yoyote anayeijua Japan...
Wakati wenzake wamevaa barakoa na wamesimama pembeni ya moshi, Polisi yeye kuonesha ukakamavu, kasimama kwenye moshi wa bangi bila hata barakoa🤣🤣🤣
Tukio hili limetokea wakati Jeshi la Polisi Mkoa...
Wadau,ni kwamba tunatafuta mtu wa kushirikiana nae katika uchimbaji wa dhahabu,maana yake ni kwamba,tumefikia hatua tumeishiwa lasilimali fedha,kwaiyo tunatafuta mtu atakae kuwa tayari kutuunga...
Hali inatisha jamani sijui kam taifa tunaelekea wapi kila kitu ni feki kila kitu.
Ukienda kununua dawa kwenye haya mapharmacy dawa nyingi ni feki hasa tunaopenda dawa za bei rahisi ila ubaya...
Habari wakuu wa JamiiForums! 😊
Oups weekend imekaa poa sana kwa upande wangu nipo vizur pia kwa utulivu safiii na kaupepo ka Southern Highland Tanzania😅
Mimi ni mpenzi wa vichekesho na napost...
Baada ya harusi ya huko sijui katoro ,watanzania wengi wamehama na akili zao na kuamini pesa inapatikana kirahisi kama mtu atajichanganya kuingia kwenye chain ya biashara ya madini .
Ni kweli...
Huwa kuna mjadala mkali sana kwenye jamii wa kumsema na kumsimanga mtu anayejenga nyumba ya kuishi kuwa anazika pesa zake lakini hapohapo jamii inampongeza na kumuona mtu wa maana sana mtu...
Mimi ni Mkazi wa Korogwe Msambiazi, March 2026 nilileta hoja hapa kuwa kuna tatizo la low voltage kwa umeme wetu kila siku ikifika saa moja jioni umeme unakatika katika kila baada ya dakika tano...
Hawa vifaranga wamenunuliwa kwa Tsh 500,000 pair
Sifa zake
Anatokea Indonesia
Asili yake ni katika kisiwa cha Java nchini Indonesia.
Ni mweusi karibu mwili mzima
Manyoya, ngozi, miguu, mdomo...
My Take
Huu utafiti una uhalisia hasa Kwa watu wazima kuanzia miaka 40 na kuendelea ambapo inadaiwa watu hufanya ngono si zaidi ya mara 5 Kwa mwezi au pungufu zaidi.
Mpaka hapa Wazungu wamefaulu...
Habari wadau wa JamiiForums,
Naomba kufahamu kama mamlaka husika zinafahamu changamoto inayowakabili abiria wa daladala, hasa jijini Dar es Salaam, ambapo baadhi ya madereva na makondakta...
Nikiwa katika pitapita zangu za kusafiri mwishoni mwa mwaka huu wa 2023 nikajikuta mikoa ya kaskazini, nikatua Stendi kuu ya mabasi ya mikoani pale Moshi mjini na hapo nikakutana na mambo ya...
Miaka ya nyuma tuliona ukiingia au ukienda kutembelea makazi ya watu tofauti ndani kwenye sebule utakuta picha au kalenda ya Magufuli, Kikwete hata Mkapa ila sasa naona hakuna uzalendo.
Kwako...
Wakuu salaam,
Nakuja kwenu ndugu yenu, kaka yenu pia mdogo wenu kwa heshima kubwa nikihitaji msaada wenu wa mawazo nikaamini Kuna watu wanauzoefu wa namna yoyote au uelewa mkubwa kuzidi wangu...
Ubinafsi umevuruga familia nyingi, Taasisi mbalimbali zikiwemo za watu binafsi, makanisa na serikali.
Ubinafsi sasa unaharibu Taifa.
Ghorofa imezungukwa na vibanda, viongozi wasio na weledi...
Kwa nini hotel na lodge huwa hawajali mtu ameingia muda gani?
Mtu hata akiingia saa tisa usiku ikifika saa nne asubuhi anatakiwa atoke sawa na aliyeingia saa tano asubuhi
Kichwa cha Habari
Nyie Wahudumu wa Mabaa, Makaunta na Mahoteli
Ushamba, Utapeli na Upumbavu Wenu Ndio Unao piga Vita Biashara za Watu
Hivi nyie wahudumu wa mabaa, makaunta, na wafanyakazi wa...
Kati ya kufungiwa kwenye chumba ukae humo mpaka ufe au utundikwe kwenye kamba,au uchomwe sindano yenye kemikali za sumu au upitishiwe umeme wa msongo mkubwa kwenye mwili wako ufe instantly, ipi...