Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imeanzishwa kwa mujibu wa Kifungu cha 12 cha Sheria ya Huduma za Habari Sura ya 229, ikiwa na jukumu kuu la kutoa ithibati kwa waandishi wa habari hapa...
Ukisikiliza simulizi za watoto wanaoishi katika mazingira magumu Shinyanga unaweza kujiuliza Serikali iko wapi na inafanya nini kulinda ustawi wao kisheria, kanuni na miongozo mingi mizuri iliyopo...
Katika dunia ya sasa, watoto wa kiume nao wanahitaji uangalizi na malezi ya karibu kama watoto wa kike. Changamoto za maisha, makundi mabaya, na ushawishi wa mitandao vinaweza kuwaathiri kirahisi...
Nampongeza sana Waziri Dr Dorothy Gwajima ( wazara yake siijui vyema)
Kwa kuthubutu kupinga uchafu wa ushoga ambao ni kinyume cha maadili ya Mtanzania na mtu mweusi Kwa ujumla
Ushoga na usagaji...
Hizi taka taka barabarani zinakera mno. Yaan nakumbuka enzinza tex maisha yalikuwa mazuri. Hawa waharibifu hata sijui nani amewaleta. Ni kero kero barabarani, kwenye ndoa, usalama wa mahouse girl...
Wachungaji wa Makanisa ya kilokole punguzeni mashariti acheni kuwatenga mwanamke wanaopata mimba kabla ya ndoa, hii inapelekea ongezeko la utoaji wa mimba.
Na ninyi wanawake mchungaji siyo Mungu...
Watu 40 walioandika Biblia
Biblia, kitabu kikamilifu na kitakatifu, kimeandikwa na waandishi zaidi ya 40, kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu.
Ndani ya biblia kuna taarifa zinazohusu maisha ya watu...
Ninashuhudia walimu wa vyuo vikuu wanawake wakiwa na virus na wengine wakiaga Dunia.
Walimu wa vyuo wa umri kati ya 35-50 sio salama kwa nyie G-zee.
Unalikuta ni linene ni mnene kumbe ni...
RC Mtanda,
Kuanzia Januari hadi Juni 2026, wananchi wa Wilaya ya Ilemela tumeendelea kuwasilisha malalamiko ya uwepo wa changamoto zinazojirudia katika utoaji wa huduma za umma na usimamizi wa...
MJUE KOMANDO ALI MAHFOUDH
Kanali Ali Mahfoudh ni Mmoja wa Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, JWTZ waliotajika sana kwa Miaka hii 50 ya Jeshi letu hili, viza Ushupavu, Ushujaa na Umahiri...
Wote tunajua ukimwi upo na unaua tena sana lakini kwanini ripoti za kitaalamu hazielezi kwenye misiba ya watu waliokufa kwa tatizo hilo kwanini iwe SIRI
Habari wana jamvi,
Bila shaka leo nimekuja kuzungumzia suala zima la malezi haswa kwa wazazi wa upande mmoja,nowdays wanajiita sigles as (singomaza).Masingo maza natamani sana mpitie huu uzi ili...
Kiukweli huyu mnufaika wa michango ya CHADEMA na Mbunge aliyestaafishwa Godbless Lema huwa ana madini sana kwenye mambo ya familia na ndoa. Mimi huwa natofautiana naye kiitikadi ila kwenye ishu za...
Ma house girl wanapitia changamoto nyingi hapa nchini lakini hii mikoa ya Arusha na Kilimanjaro ni komesha, ni funga kazi !!
Kuna matukio mengi ya ma house girl kunyanyaswa kama kuchomwa na pasi...
Jana Rasmi Nimeachana na Mpenzi wangu, huyu Binti Tulipendana sana Wakati tupo Chuo, Mimi nikiwa Mwaka wa Pili, yeye wa kwanza, Sote Tumesoma Diploma.
Mimi ni introvert hivyo huwa napenda sana...
-Ewe mtanzania kwa yeyote aliyefanyiwa dhuluma kwenye siasa, uchumi,ndoa, shuleni asivunjike moyo . Haki ya kweli hutoa mwenyezi Mungu mwenye rehema. Tusivunjike moyo, tusiwe na huzuni kwa kuishi...
Aisee, zamani nilikuaga naangalia kiuononi kwanza kama kuna mkanda wa jeshi, ila kumbe miguuni napo kuna alama.
Nimekumbuka miaka ya zamani kidogo nikiwa migodini huko chunya nilipata kabinti...
Naomba ushauri na kueleweshwa kutoka kwenu wana-JamiiForums wenye uzoefu au uelewa wa masuala ya umeme ukinunua nguzo (TANESCO). Ninaishi Katoro eneo ambalo naishi kwa muda mrefu halikuwa na...