Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kuimarisha ushirikiano na Taasisi ya Africa50 pamoja na wanahisa wengine ili kuharakisha utekelezaji wa miradi ya kimkakati...
0 Reactions
1 Replies
106 Views
Kuna msemo unaosemwa sana baada ya mtu kufanikiwa: "Yule alianza tu kama utani." Lakini mara nyingi huo si ukweli. Ukweli ni kwamba aliyeanza ndiye anayejua uzito wa dhamira aliyokuwa nayo tangu...
1 Reactions
7 Replies
107 Views
Kashaona anataka wafuwasi.Alicho fanya umri wake na mafundisho na mambo yake anahisi kufanya hivi kutampa kufika 2030. Kuna mambo yatageuka kesho mje kusema tuliona wakati mlikuwepo. Hivi kwa...
2 Reactions
6 Replies
214 Views
Kumbukumbu la Torati 14:22 [22]Usiache kutoa zaka ya fungu la kumi katika maongeo yote ya mbegu zako, yatokayo shamba mwaka baada ya mwaka. Thou shalt truly tithe all the increase of thy seed...
12 Reactions
134 Replies
6K Views
Jitahidi Usome Mpaka Mwisho ✅Unatoa milioni 3+ na mtaaluma wa shule kitu pekee anaonyesha kwao ni best ni A+ tena ambazo zimetokana na remedial za kutosha , makambi ,speed test nyingi jua...
4 Reactions
20 Replies
296 Views
Anonymous
Mamlaka zinazohusika zifuatilie Bar hiyo wanauza bia ambazo zimeisha expire na ziko nyingi wanasingizia kwamba bia huwa haziharibiki... binafsi nimeishaenda zaidi ya mara tatu unakuta bia kama...
2 Reactions
7 Replies
163 Views
Anonymous
Wakazi wa Mtaa wa Gonga, Majumba Sita, Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam tuchoshwa na usumbufu unaosababishwa na kibanda kinachouza pombe hadi nyakati za asubuhi, huku muziki wa sauti ya juu...
1 Reactions
1 Replies
70 Views
Ni dhambi kuchora tattoo kwenye mwili Maandiko katika kitabu cha Mambo ya Walawi 19: 28: “Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala MSIANDIKE ALAMA MIILINI MWENU...
1 Reactions
10 Replies
137 Views
Habari za wakti huu ndugu zangu wa BRELA Kwanza kabisa niwaulize hivi Call centre yenu iko Busy sana au wafanyakazi wachache au vyote kwa pamoja maana kasi yenu ya kupokea simu na kushughulikia...
0 Reactions
12 Replies
233 Views
Ukiangalia katika biblia hakuna tukio la Yesu amefumba macho anaomba eti mtu flani apone. Mara nyingi alitamka tu neno katika mazungumzo yake sio maombi na kitu kikatokea. Au akakemea tu hali...
8 Reactions
82 Replies
975 Views
Jambo wakuu! Baada ya kusoma maandiko mengi sehemu mbalimbali yanayohusu ununuzi wa HISA,sasa ninajaribu kufikri kwa kina ili niweze kufanya maamuzi. Ninaomba kueleweshwa kwa ufasaha na uaminifu...
2 Reactions
3 Replies
109 Views
Anonymous
Naomba taa eneo la Mwabene - Mbeya, Barabara ya Teku, kuna matukio kadhaa ya ajali yanayosababisha na kukosekana kwa huduma ya taa. TARURA Mbeya wafunge taa pale, namaanisha taa za kuongoza...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Anonymous
Barabara ya Pugu - Chanika ni mbovu sana imejaa mashimo imekuwa chanzo cha ajali mara kwa mara, natoa wito kwa wanaohusika watimize wajibu wao kusaidia Wananchi.
1 Reactions
0 Replies
116 Views
Habari za wakati huu wanajukwaa. Bila kupoteza muda wiki iliyopita nilijiunga kifurushi cha mbps 10 unlimited kwenye router ya airtel smartbox 5g kwa tsh 70k, Mwanzo speed ilikuwa really 10mb per...
4 Reactions
91 Replies
6K Views
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inapenda kuwakumbusha Wamiliki, Wakurugenzi na Makatibu wa Kampuni kuwa huduma ya uwasilishaji wa taarifa ya Mizania ya mwaka na hesabu za Kampuni...
1 Reactions
0 Replies
99 Views
Leo, Agosti 05, 2026, Ubalozi wa Ujerumani nchini Tanzania umetembelea ofisi za JamiiAfrica jijini Dar katika ziara ya kikazi na kuimarisha mashirikiano. Ujumbe wa Ubalozi huo uliongozwa na Kaimu...
16 Reactions
37 Replies
443 Views
Anonymous
Mkoa: Dar es Salaam Wilaya ya Ilala Kata ya Majohe Mtaa wa Majumba Sita. Hili daraja maji halipitishi vizuri, kamvua kadogo tu maji yanakuja kwenye nyumba za watu yanajaa mkandarasi hajajenga...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Mungu akijalia naweza fika uko miezi minne ijayo tena naenda kwa njia halali sio janja janja ila lengo langu la siri kubaki uko (sehemu tutakazotembelea ni UJERUMAN, ITALY, SWIDEN, NA FINLAND ila...
0 Reactions
0 Replies
84 Views
1) Road license,nilijikuta nadaiwa kwenye TIN yangu hela nyingi, kwa Magari ambayo niliyauza kama scraper/ watu ambao sikuweza kupata Mawasiliano nao hawakuhamisha umiliki wa magari hayo, nilitoa...
1 Reactions
0 Replies
76 Views
Maisha ya Binadamu ni mafupi sana,kila kiumbe chenye uhai kitaonja umauti,hakuna atakaye ishi milele,walikuwepo watu kabla yetu na watakuja wengine baada yetu, Wapo watu walioifanya hii Dunia kua...
36 Reactions
145 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…