Video ya Wanaoitwa DungaDunga kwenye daladala

Video ya Wanaoitwa DungaDunga kwenye daladala

Joined
May 29, 2022
Posts
51
Reaction score
100
Ukute hapo uyo mjuba kashapitishwa kituo na hajaliii wala[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chezea Raha Za DadaDala Wewe[emoji1751]Nibalaaaaa[emoji1751][emoji38][emoji38][emoji38].

Hao wanawake huwa wanafanya hivyo makusudi Kisha wanakupa kesi hapohapo ..wanakuchomoa 10,20 au vyovyote...nishaona hayo Morocco, na Namanga...ni mitego hiyo watu wanataka Hela ya marejesho vikoba.

Dah..?. Sema Nini..?. Wanaume sometime tunajidhalilisha sana, Hawa Dada Zetu Wanatupaga Majalibu Mengi Sana Dah..?.[emoji134]Aibu naona Mimi[emoji1751][emoji1751]

Tizama video hii
 
Kuna choir ya kikatoliki inaimba dunia hupendi watoto. .

Kizazi cha watu wasio na maadili kabisa cha kushangaza michezo hii kwa wabambiaji wanawafanyia wanafunzi mpaka wanaume, upuuzi mtupu. .
"Eeeh Dunia, Dunia Eeh Mbona hupendi watoto" Wimbo wangu bora kabisa kati ya nyimbo za Kikatoliki.
 
Duh,hz gari hz

Niliwah kaa closer na binti fulani,wakati na ingia kila mtu alikuwa bati bati hakuna kuongeleshana lakin kutokana na miili yetu kugusana baadae binti alianza kuniongelesha na alivyoshuka aliniaga kama vile ni watu tuliokuwa tunafahamiana kitambo
 
Back
Top Bottom