Samia Suluhu wewe ndiyo unataka kutugawa

Ponjoro wa Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2024
Posts
3,522
Reaction score
9,575
Mara kadhaa nimekusikia unasema ati tuwe macho tusiruhusu watugawe. Ukweli ni kwamba wewe ndio unataka kutugawa na HATUKUTAKI.

1. October 29 ndugu zetu wamefyatuliwa risasi na kuuawa halafu ukadiriki kusema kuwa wameuawa kwasababu walileta vurugu na kuharibu mali za watu. Sidhani kama unajua kuwa watu walifuatwa majumbani na kufyatuliwa risasi zamoto.

2. Ndugu yetu Humphrey Polepole ametekwa na hujachukua hatua yoyote ile kana kwamba mwanamke mwenzako alizaa kuku na nihaki yake kuchinjwa. Gwajima alipouliza ikitokea Abduli ametekwa na kuuawa utajisikiaje nayeye unamuwinda.

3. Umemkamata kiongozi wa upinzani ambaye ni ndugu yetu kabisa unampa kesi ya uhaini na unajua kabisa unamkomoa.

4. Umefukuza ndugu zetu ngorongoro na kuuza rasilimali zetu halafu unataka tukuchekee?

Ukweli ni kwamba SAMIA anatugawa na hili halikubaliki.
 
Nasubiri jamaa wa mbogamboga waje na hoja zao za mapambio wakunange
 
Kumbe we ni ponjoro kweli, huna hoja hizi ni porojo tu
 
Sasa hivi kusingizia watu kesi za uhaini na ugaidi imekuwa ni kama script ya kudhibiti mtu yeyote mwenye nguvu ya kisiasa.
 
Back
Top Bottom