Habari za asubuhi members,
NSSF wametambulisha mfumo (Online Application - NSSF Unemployment Benefits) ambao naona umekuwa ni kero kubwa hasa kwa waathirika wa ajira ambao wanafuatilia mafao ya...
Kampuni ya Meta inakabiliwa na kesi mpya ya kisheria nchini Marekani kuhusiana na miwani yake ya kisasa ya AI (AI Smart Glasses) baada ya kuibuka kwa madai mazito ya ukiukwaji wa faragha za...
Wanajamvi nahitaji simu aina hiyo sasa kila nikipita mitandaoni nakutana na matangazo Cha ajabu Bei ni Chee kweli kweli Hadi zinanitisha mara Tsh 400k mara 350k nikiwasiliana nao wananieleza lipia...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja amejikuta akipata mimba ghafla bin vuu akiwa madhabahuni kwa Mtume Boniface Mwamposa, maarufu kama Bulldozer.
Bikira Mariamu alipata mimba kwa...
Kabla ya kuendelea, turejelee kauli aliyoitoa Colonel Lionel Dyck, mkurugenzi wa jeshi binafsi la DAG ambaye mkataba wake wa kutoa msaada wa anga pale Msumbiji ulitamatika tarehe 6, April 2021...
- Shambulizi la kigaidi mji wa Macomia mwezi jana.
- Oparesheni ya SADC na jeshi la Rwanda.
- Interest ya Kagame katika vita za wengine.
Wa kwanza kufika hapa Msumbiji ni jeshi la Rwanda. Kwa...
Chama cha upinzani cha Namibia, Affirmative Repositioning (AR) kimepinga vikali uteuzi wa Naibu Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Petrus Tileinge Damaseb, kuwa mjumbe wa Tume ya Rais ya Uchunguzi nchini...
Toka 2016 kumekuwa na ‘dead internet theory’ = nadharia ya kifo cha internet. Kwa kifupi, ndani ya internet za maongezi na majadiliano, kumeingiwa na akaunti za maBOT – yaani akaunti za maroboti...
Yaani kitendo cha makamu Rais kumtembelea mstaafu ambaye kila manung'uniko mabaya yako kwake kimezidi kushangaza pale wawili hao kuonekana ,pamoja na maneno kuwa makamu kaandika barua ya...
Ili kuzuia watu kukuweka kwenye magroup ya WhatsApp bila ridhaa yako, unaweza kubadilisha mipangilio ya faragha (Privacy Settings) kwenye simu yako.
Njia hii inamlazimisha mtu anayetaka...
Moja ya vitu vinavyoleta mkanganyiko mkubwa kwenye mijadala ya watu ni matumizi ya maneno mawili “Best” na “Favorite.”
Unapaswa kuelewa kwamba kitu kinaweza kuwa Best kwa maana kwamba unakikubali...
KATIKA KALENDA YA KIROHO MUDA UMETIMIA ,Unabii wote umeshatimia,ishara zote zimeshatimia...muda sasa umefika.sekunde yotote sasa watu wa Mungu walioko duniani watanyakuliwa kwenda mbinguni kuishi...
Aisee hapa Dar tunaibiana sana haiwezekani parachichi bei ya chini iwe 1500 tena hilo la bukujero ni low quality
Kwani uzalishaji wake umekuwaje hadi yauzwe bei hivi?utafikiri tunaagiza kutoka China
Hii Sheria ya mtu amekutwa na bangi au mirungi na kupigwa mvua ya miaka 30 naona kama haifai kabisa.
Sheria hii imekua mwiba kwa vijana sana , kijana wa miaka kuanzia 18 mpaka 39 unampa hukumu...
Waungwana je huko kwenu kuna umeme? wapi ulipo?
Maana sisi maeneo ya Ilala, Sinza, Dodoma, Tarime kote ripoti ni hakuna umeme,
Nini itakua sababu?
=====
TANESCO wanasema hivi:
Shirika la...