Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

My Take Inawezekana Hawa mabinti waasaka maisha au wanakula ujanja kwanza,wakishakuwa mashangazi ndio wanazaa. ====== Why do you think more women are choosing to have children later in life...
5 Reactions
9 Replies
133 Views
Naam kuna nyakati maishani zinabaki kuwa kumbukumbu nzuri sana. Tanzania tumejaaliwa kuwa na mchanganyiko wa makabila mengi na tukaishi pasi kujali tofauti zetu kama dini,rang, kabila, khali n,k...
2 Reactions
8 Replies
172 Views
Naomba kufahamu kama hizi meza zinatengenezwa hapa Tanzania? Na ni sehemu gani? Au wauzaji wote wananunua china?
1 Reactions
0 Replies
66 Views
Hivi karibuni hapa JF tulijadili sababu za Dangote kuhamishia ujenzi wa Refinery toka Tanga kwenda Mombasa. Tunajua sababu kwa nini Dangote alifanya hivi - kwamba ilikuwa hasira ya raisi Samia...
13 Reactions
63 Replies
1K Views
Halmashauri ya Mansapaa ya Ubungo imetoa taarifa inayoonesha utaratibu wa maegesho kwenye vijiwe vya bodaboda na bajaji wanaopaki kwa vikundi. Taarifa hiyo inaeleza kuwa wanatakiwa kufanya...
0 Reactions
4 Replies
485 Views
Member, Nimekumbuka changamoto iliyonikuta ikaibua tabia addiction,, Ni hivi niliwai kusafiri kwa treni kwenda Kigoma kufwatilia kazi ya tenda,, sasa kufika pale Tabora nakagundua begi la nguo...
16 Reactions
79 Replies
1K Views
Mimi kusema kweli ni Tanga, Uswahili wa wale watu ulinishinda Lakini pia joto kali, etc Karibuni
7 Reactions
146 Replies
4K Views
KICHWA KINAJIELEZA Je? ni kweli moyo ndo unaopenda Au ni nadharia?
2 Reactions
11 Replies
111 Views
Leo nimekumbuka utawala wa awamu ya tano chini ya Jemedari hayati John Pombe Magufuli. Nakuletea watu mashuhuri (Viongozi) waliopendwa sana na hayati Magufuli katika utawala wake. Orodha hii...
11 Reactions
30 Replies
1K Views
Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya...
7 Reactions
260 Replies
3K Views
Anonymous
Kwanza nianze kwa kusema asante sana JamiiForums kwa kufikisha ujumbe wetu kwa umma na hatimaye kufika kwa mabosi wa juu, kwani muda mfupi baada ya taarifa hiyo kuhusu changamoto ya ardhi kwa...
0 Reactions
0 Replies
98 Views
Yuko wapi huyu Mwana Harakati Mkatoliki....??!! Alibamba sana katika kuikosoa Serikali enzi zake akiwa Askofu Mkuu Msaidizi wa Jimbo Kuu La Dar Es Salaam?!!! Alipenda kubamba kupitia BBC...
2 Reactions
9 Replies
233 Views
Hii ni thread maalum kwa jambo lolote ambalo hulijui.! Kwenye thread hii utauliza wenye kujua jambo hilo watakujuza......, (Mfano» Je.? kwa nini wanaume ndo wanakufa halaka kuliko wanawake...
0 Reactions
6 Replies
50 Views
Nimesikiliza hotuba ya Askofu Sylvesta Gamanywa katika kongamano la wachungaji wa Wapentekoste wa Wimbi la Mitume na Manabii na wa CAG Ninaandika haya si kama mwakilishi wa upande wowote, bali...
0 Reactions
3 Replies
107 Views
Mkaguzi wa Polisi Kata ya Mwaya, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro, Mkaguzi wa Polisi (INSP) Masengi Marwa, ametoa mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Mwaya kuhusu matumizi...
1 Reactions
0 Replies
49 Views
Mnakumbuka tukio la majambazi kuvamia pugu sec mwaka 2003 hadi kupelekea mauaji ya mwanafunzi mmoja? Wenye stori kamili tunaomba mtupatie Rest Easy Mwamba Res
9 Reactions
68 Replies
1K Views
Nakumbuka nilihamishwa kikazi kipindi fulani na kukaa katika wilaya ya Arumeru, halmashauri Meru, aloo sinawahi kukutana na sampuli la kabila hili la wameru aiseehawa jamaa kiboko!... Yaani...
37 Reactions
97 Replies
6K Views
Anonymous
Wakazi wa Salasala (kata ya Wazo, Wilaya Kinondoni) tunapata sana adha ya maji, DAWASA wamezidi kuwa na majibu ambayo hayaridhishi. Tunakaa mwezi bila maji na wakifungulia yanakuwa hayana...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Una maoni yapi? Nukuu ya Mwandishi mkongwe Salim Said Salim "Mfumo wa elimu ubadilike. Wenzetu kama China na wapi wanafundishwa ustadi wa mambo na maisha na kuwa socially responsible. Sisi...
1 Reactions
1 Replies
65 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…