Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu changamoto ninayokutana nayo katika mchakato wa kupata huduma ya Kitambulisho cha Taifa kupitia mfumo wa NIDA Online katika...
Kuna watu humu wanaroho nyepesi sana.
Yaani hawana emotional maturity kabisa
Yaani nimeanzisha uzi unakuja na maneno machafu, then na kujibu kiustaarabu alafu una report kwa modz eti umetukanwa...
Tanzania inabadilisha sheria ili kuvutia teknolojia na uwekezaji, lakini je, mabadiliko hayo yatamnufaisha Mtanzania wa kawaida?
Serikali inapanga kupitia upya zaidi ya sheria 1,000 ili kuunda...
Tanzania imeshindwa kufaulu mtihani wa uwazi wa matumizi ya fedha wa marekani huku kenya ikifaulu mtihani huo
Swali :Wewe unafikiria ni kwanini Tanzania imeshindwa mtihani huo ?
Mwisho tunamsubiri...
Simulizi fupiii..
Wakuu laana nilidhani haipo lakini, sasa nadhani mtu anaweza kulaaniwa na wazazi wake.
Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 20+ alipelekwa na baba
yake mjini kwa ajili...
Ila Vale Nafaka ni mzuri na mrembo. Mungu kampendelea sana huyu binti.
Kwaanzia kwenye unyayo katikati hadi utosini.
Hii pisi ni balaa. Yani hadi nashindwa kuelezea maamaee walahi.
Kwa wale...
Barabara ya Lemara imekuwa katika hali mbaya kwa muda mrefu, licha ya kuwa kila kipindi cha uchaguzi baadhi ya wagombea wa udiwani wamekuwa wakiitumia kama sehemu ya kampeni na kuahidi kuiboresha...
Mara zote Irani yeye alikuwa haziishi mashambulizi ila alikuwa anajibu Baada ya kushambuliwa na alikuwa anajibu Kwa kiwango kinachofanana nafikiri walikuwa wanafanya Kwa kufuuta Sheria za kiislam...
Lugha iliyotumika kati ya Adamu na Mungu kwenye bustani ya Edeni
Biblia haijataja lugha gani ilikuwa inatumika pale bustani ya Edeni.
Ingawa Mungu ana uwezo wa kuzungumza na sisi pasipo lugha na...
JE apa bongo chini ya miaka 30 unaweza aminiwa kwenye kitengo gani cha taasisi nyeti wewe kua top (je mashirika ya umma,makampuni,taasisi,ukatibu kwenye wizara,ubunge,udiwani,uku wa police,jeshi...
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa elimu baada ya kuzindua Mradi wa Kijiji Changu (My Village) Agosti 11, 2026.
NJOMBE, Agosti 11, 2026...
Kwa mtazamo wangu 90% tutapiga YES wakoloni wazungu warudi na naami watu wengi waliozaliwa kuanzia 1980-2010 tutakua upande wawazungu na watakuja kutufungulia nchi na hatakama wataiba na kunyonya...
Bey Minyodo Tz ni kijana pande la miraba miwili mwenye mwili mkakamavu wa mazoezi anayechunguza na kuwaadhibu vijana wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja
Minyodo amekuwa akiwatembezea viboko...
Sitaongea Sana, ila kiukweli nyuzi nyingi Sana zimewekwa kuhusu mada hii, naweka Hoja atakayebisha basi ana shida.
Maeneo yenye baridi kabisa nchi hii yapo matatu, kijiographia ni eneo Moja, ila...
Kuna kitu cha ziada kwenye mmea jamii ya bhangi, kitu hicho chenye mahusiano na mambo ya kiroho ama jicho la tatu..... Moshi wake ni mwepesi sana na unapovuta jani tofauti na sigara nyingine...
Ingawa hadi sasa hakuna dawa inayoweza kuondoa VVU kabisa mwilini, maendeleo ya sayansi na teknolojia ya tiba yamefanya maisha ya watu wanaoishi na HIV kuwa bora zaidi na kupunguza kwa kiasi...
Zanzibar kuna changamoto inayozidi kuwa kero kwa wamiliki wa vyombo vya moto, hususan kuhusu namna baadhi ya watu wanaotekeleza majukumu ya usimamizi na ulinzi wanavyowakamata na kuwaomba fedha...
Baada ya mdau kuweka uzi hapa jukwaani, akihoji ukimya wa TFS na Jeshi la Polisi juu ya mauaji yaliyofanywa na askari hao kwenye pori la uhifadhi (Kwa maelezo ya tukio hilo ingia hapa: DOKEZO -...