NARUDIA; VIJANA MAISHA NI POLEPOLE, HUO NDIO MWENDO. USIYASUBIRI. YAFUATE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Haba na haba hujaza kibaba. Bandua bandua humanize gogo.
Hizo ni hekima za wahenga...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imemjibu Mdau aliyeandika ~ Wakazi wa Nyamhongolo, tunapitia shida kubwa ya maji, ni wiki ya 3 maji hayatoki na MWAUWASA hatuambiwi...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imejibu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika ~ Baada ya ziara ya Waziri wa Maji, Mtaa wa Ellys Hoteli Nyegezi na maeneo jirani...
ONYO KWA WAFIA DINI ZA MELI: Andiko hili halitawapendeza hata kidogo na linaweza kuwakwaza sana. Kama huna uvumilivu wa kutosha kusikia ukweli unaochungu kuhusu imani mlizozikumbatia kwa upofu, na...
Siku hizi kupata scholarship au kazi kwenye mashirika makubwa si suala la kuwa na GPA nzuri pekee au CV ndefu yenye maneno mengi. Dunia imebadilika. Watu wa kwenye panel za scholarship na...
Naamini MACHAWA WOTE wana akili timamu,ila wameamua KUJITOA AKILI,kujizima data,kujitoa ufahamu kuna machawa wamesoma vyuo vikuu,wengine ni maprofesa kabisa
Usifikiri hawa wanaoposti hapa UCHAWA...
Julai 8, 2026 Mdau aliandika kuhusu changamoto ya maji kukosekana Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, kusoma andiko lake bofya hapa ~ Kero ya upatikanaji wa maji Kazamoyo, Kirumba, Ilemela –...
Nimefanya utafiti usio rasmi Kwa kuangalia Matajiri wa Tanzania na Umri wao, na
nimegundua Matajiri wengi Umri wao ni kuanzia miaka 43-90.
Kwa Umri wa Diamond wa Miaka 34, inamfanya yeye kuwa...
Mbeya kipindi cha mvua na chenyewe kunakuwa na siku nyingi za bila jua. Moshi leo ni siku ya 4 hatulioni jua. Ni mawingu yametanda tu muda wote hata kama hakuna mvua. Wenyeji wananiambia sometimes...
Habari, mambo vipi mko poa nyie naombeni mnisamehe kwa kuwasubueni. Nimeamua kuwandikia kwa sababu sasa nimekwama kifedha na nina uhitaji wa dharura. Naomba kama utaweza kunikopesha shilingi...
Mfuko wa Faida Fund, unaosimamiwa na Watumishi Housing Investment (WHI), umetoa mafunzo elekezi ya siku tatu kwa watumishi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI), yenye lengo la...
Unafungua simu yako asubuhi na kukuta ujumbe wa deni, huku kodi ya nyumba ikikaribia, ada za watoto zinasubiri na gharama za chakula zinaendelea kupanda. Badala ya kuanza siku ukiwa na utulivu...
Mkurugenzi wa mabasi yanayofanya Dar-Arusha, John Tilisho akamatwa kwa kuagiza kukatwa kwa mnyororo kwenye moja ya basi zake
Baada ya mkurugenzi wa mabasi ya Tilisho Safari aitwae John Tilisho...
Kwa maon yangu mimi naona si Sawa eneo la parking pale kituo cha treni za mwendokasi kuwa za kulipia kwa wananchi wanaokwenda kupeleka au kupokea ndugu zao.SIO LAZIMA KILA HUDUMA WANANCHI...
Kuna utapeli umeibuka kwa njia ya simu. Kuna namba huwa unakuwa nazo kwenye simu, aidha ya rafiki au ndugu, anakupigia simu na kujifanya yupo hospitali kwamba amelazwa
Anakwambia ana mjomba wake...
Habari za muda huu ....
Mbona siku hizi matangazo ya kutibu nguvu za kiume zimeshamiri sana sio kama miaka ya nyuma wazee waliishije tena hao wafanya biashara kuna dini moja ukitoka nje ya nyumba...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amemtaka Mkandarasi China Wu Yi Construction kuhakikisha anakamilisha hatua ya kumwaga lami katika barabara muhimu inayopita eneo la Hospitali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.