Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wananzengo kama jina la uzi wetu unavyojieleza hapo juu. Geographia ya mkoa wa Pwani kuingiliana na mkoa wa Dar es salaam, pia kutanuka kwa miji na uwingi wa watu. Hii imepelekea baadhi ya maeneo...
2 Reactions
2 Replies
210 Views
Kuna tofauti muhimu: Tupac aliuawa mwaka 1996, lakini kesi ya jinai haikuanza kusikilizwa hadi Agosti 2026. Mtu aliyeshtakiwa, Duane “Keffe D” Davis, alikamatwa mwaka 2023—takribani miaka 27 baada...
2 Reactions
3 Replies
102 Views
Shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, linatarajiwa kuendelea kusikilizwa leo, Jumatatu, tarehe 10 Agosti 2026, kuanzia saa 3:00 asubuhi. Kesi hiyo inasikilizwa katika...
3 Reactions
6 Replies
247 Views
Hiki kitu huwa najiuliza sana na nimekutana na hii changamoto vituo vingi sana hasa vya serikali yaan unatibiwa lakini unacho toka nacho ni dawa basi lakini taarifa zingine za maandishi wanabaki...
1 Reactions
1 Replies
85 Views
Anonymous
Ninasubiri mafao yangu kwa mwezi mmoja na wiki mbili hadi leo bila kuyapokea. Tarehe 5 Agosti 2026, nilifika NSSF Ilala Boma kufuatilia suala hilo, lakini nikaelezwa kuwa kuna tatizo la mtandao...
0 Reactions
1 Replies
144 Views
Na Mwandishi Wetu. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imewataka Waandishi wa Habari wa Crown Media kulinda imani ya umma kwa kuzingatia weledi, maadili, uadilifu na uwajibikaji katika...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Kanisa la Kilokole la Pentekost la Christ Embassy, chini ya uongozi wa Pastor Chris Oyakhilome, limezindua rasmi safu ya magari yanayotumia nishati ya umeme, ikiwa ni sehemu ya miradi yake ya...
3 Reactions
37 Replies
454 Views
Kifo sio mwisho wa maisha ni ufunguo wa mlango wa kiroho kurudi ulipotoka. Hatupaswi kuogopa kifo.
8 Reactions
35 Replies
306 Views
Achana kabisa na miaka ya tisini. Those were the days.. Ilifika kipindi nikawa najiuliza why am so much possessed by the 90s? Is it because I was still a Lil Bow Wow( a very young boy) or what...
5 Reactions
51 Replies
898 Views
Bill Gates anasema iwapo Dunia itakwepa kuingia kwenye vita ya Dunia basi itaangukia kwenye janga kama la Covid ndani ya miaka 25 ijayo. Gates anasema hivyo ni vitu visivyokwepeka, unkwepekable...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Anonymous
Katika miezi ya hivi karibuni, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imekuwa ikituma bili za maji kwa wateja bila kuonesha idadi ya units zilizotumika kwa mwezi husika. Hali...
0 Reactions
0 Replies
59 Views
Nitakuwa wa mwisho kuamini hapa duniani kama huyu Olie ni mtoto wa Wema na Whozu . Ninadhani kuna uwezekano mkubwa huyu mtoto amenunuliwa kwa pesa ndefu sana huku siri ikibaki baina ya wazazi...
12 Reactions
38 Replies
629 Views
Anaitwa Saidi Abdallah Mikidadi Potea, miaka 33, mkazi wa Kijichi, Temeke mkoani Dar es Salaam. Saidi amejikuta akipambana kwa kila njia kuunusuru uhai wake kufuatia gonjwa la ajabu la uvimbe...
5 Reactions
21 Replies
911 Views
Kwanza kabisa official kuwa jina langu halisi la de Gunner limerudi kwa hewa.. Baada ya vile vyote vilivyo tokea.. Kuhusu kuchapwa ban na kuunganishwa ID. It was all for the better...
19 Reactions
67 Replies
681 Views
Je Kuna kitu kime kuinspire kuhusu huyu mwamba ingawa last seen yake ni 2019. Tujuzane wadau
10 Reactions
136 Replies
6K Views
Na anaitwaje kwa kiswahili? Ana dili gani?
1 Reactions
3 Replies
77 Views
Maishani mwangu sijawahi jivunia upuuzi!! Some says a star sign ndio sababu, ila sijawahi kuwa hard to love nadhani I'm always all in na najikuta nakuwa a standard na bahati mbaya nusu ya watu...
4 Reactions
27 Replies
370 Views
Kipindi nasoma same boys , nipo na mwanangu mmoja wa mwanza , hatuna ramani ya viroba kulandua kichwa ,na pcb imekaza kinouma lazima tuishtue na unyama fulani hivi😅 Tukazamia kitaa cha wapare...
20 Reactions
44 Replies
523 Views
Baada ya Mdau kuanzisha hoja hii - MWAUWASA imekuwa jipu lisilotumbulika, Nyamagana - Mwanza ni mwezi sasa hatuna maji ufafanuzi umetolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza...
1 Reactions
4 Replies
72 Views
Leo nimekumbuka nyuma hapo 2005/2006 nakuendelea VIPINDI VYA RFA hakika vilikuwa ni VIPINDI vizuri sana. Nakumbuka kulikuwa na kipindi kinaendeshwa na mwanadada ajulikanae kama Grory Robson...
7 Reactions
132 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…