Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kitu kinachokufelisha wewe kuyafikia malengo yako na mafanikio yako ni TABIA ZAKO! The Mind Game Control Wengi wetu tunapenda kulaumu uchumi, serikali, ndugu zetu, au hata bahati mbaya pale...
9 Reactions
23 Replies
310 Views
1. Kwanza itaboresha ufanisi wa kazi maofisini. Wafanya kazi watawahi kuwahudumia watanzania. 2. Itaongeza kipato kwa wafanyabiashara kwani watahi kufungua biashara zao na kama kuna...
1 Reactions
1 Replies
57 Views
  • Redirect
2 Reactions
– Replies
– Views
Nauliza TU. Yani na yeye siku aamke asubuhi ajikute hana cheo chochote kile. britanicca
4 Reactions
7 Replies
236 Views
Ipo hivi tumepanga maeneo ya ushuhani kidogo hapa darisalama, sasa asubuhi tunavyoenda kibaruani wife huwa anawahi kidogo kuliko mimi. Sasa kila anapotoka huwa namchungulia dirishani namuona...
22 Reactions
166 Replies
2K Views
Unawakuta barabarani wanapungia mikono sijui wanafanyeje Kwa mabasi ya mikoani ama magari binafsi,then yule dereva nae anamulika mataa kama ana-blink. Ni Nini?
5 Reactions
13 Replies
284 Views
Nimesoma machapisho mengi sana kuhusu domestication of animals, lakini bado... Hebu nifafanulieni kwa lugha rahisi jinsi wanyama walivyoanza kufugwa. Cc Interlacustrine R
2 Reactions
54 Replies
345 Views
Anonymous
Tunapongeza jitihada za ujenzi wa barabara zetu, hususani mijini. Lakini tatizo linakuja kwenye quality control. Barabara nzuri inakamilika, halafu unawekewa speed bump ya kijinga kama kichuguu au...
1 Reactions
0 Replies
53 Views
Mtawala asipokupenda tu kichwa kinawekwa juu ya mkuki iwe fundisho kwa wengine 😂😂🙌 Waliowahi kuiona watanielewa😂 Ni mwendo wa kuwindana na kukaa kimachale machale sana.
3 Reactions
3 Replies
77 Views
Watu wakiwa wanaendelea na harakati za kirasiku, sokoni wauza mbogamboga, garage fundi makanika, huku vijana wakiendelea kuchombezana. Kutatokea shambulio la kushtukiza zito, katika mahala...
4 Reactions
17 Replies
380 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamsaka kijana mmoja aliyetajwa kwa jina la Emmanuel Elisante Mariki, mkazi wa kijiji cha Lyasongoro, kata ya Marangu, Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kujeruhi...
3 Reactions
16 Replies
305 Views
Nafsi ina msuta ila asili yake sio kuwa radicals kama wenzake.
2 Reactions
1 Replies
96 Views
Ndoto zingine bwana mwishowe ujikojolee na utu uzima huu. Eti nimeota Lissu amekua makamu wa raisi. Sijui nani kanivutisha bange usingizini.
4 Reactions
21 Replies
185 Views
========================== Tangu Maharage pale TANESCO alipotoa tamko lisilo na mantiki na linalo-defy all logical reasoning, kwamba eti hata baada ya Megawatt 2100 kuanza kuzalishwa kwenye bwawa...
53 Reactions
227 Replies
15K Views
Matokeo kutoka kliniki binafsi na za umma nchini Malawi yanaonesha kuwa takribani 80% ya wanaume wanaofanya vipimo vya DNA kutokana na mashaka kuhusu uaminifu wa wenzi wao hubainika kuwa si baba...
1 Reactions
7 Replies
138 Views
TAG wameonesha ukomavu wa kiroho kwa kuamua kuachilia na kusamehe mali zake ambazo mahakama ilikuwa imetoa uamuzi zirejeshwe TAG. Ifahamike kuwa EAGT pia ina mgogoro na makanisa mengi tu...
2 Reactions
8 Replies
126 Views
1. "Nimeamua kujiuzuru Kwa sababu nilikuwa mkaidi dhidi ya bosi wangu, ikapelekea kunipiga pini kila upande (kisaikolojia), hatimaye nikashindwa kupumua" 2. "Nimejiuzulu ila mimi na bosi wangu ni...
0 Reactions
3 Replies
194 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limefanikiwa kumtia mbaroni mtu mmoja anayedaiwa kuchoma moto jengo la mahakama ya mwanzo mjini Moshi . Kwa Mujibu wa Taarifa ya jeshi la polisi mkoani...
0 Reactions
4 Replies
142 Views
Kuna changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Musoma Mjini. Maji yamekuwa yakipatikana zaidi nyakati za usiku na kwa kusuasua. Wakati mwingine tunakaa hadi wiki nzima bila kupata...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Unazima moto kuzuia moto usiharibu nyumba inayo waka na kuokoa mali zilizomo ndani. Tatizo walisahau nyumba ya udongo ukimwagia maji mengi inaporomoka na kuta zake zinaharibika, zinaporomoka...
1 Reactions
1 Replies
75 Views
Back
Top Bottom