Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Professor Godius Kahyarara is a Permanent Secretary in the Ministry of Transport. He is a Professor of Economics, and a distinguished alumnus and former academic at the University of Dar es Salaam...
1 Reactions
0 Replies
105 Views
Aiseee , mweny uelewa aniambie, Kipindi Cha nyuma nilikuwa cjielew. Yaan kichwa kinakuwa kizito moyo wangu hautulii nikasoma TikTok kila siku nachoma udi na naogea chumvii aisee yaan...
3 Reactions
8 Replies
201 Views
Maulidi yangu Leo hata sijaifurahia 🥲🥲
4 Reactions
12 Replies
201 Views
Kuna maswali yanakuja kichwani kwangu bila majibu. Rais wa Uganda anampokea kwa itifiki ipi je ni ya kiserikali au huyo bwanamdogo ni mfanyabishara au mwanasiasa au balozi wa hii Serikali? Mwenye...
5 Reactions
40 Replies
897 Views
Kuna thread iliandikwa humu jamaa yule alitabiri kifo cha rais JPM,akesema siku zinakuja nchi itaongozwa na makamu wa rais asiyechaguliwa kwenye box la kura,watu wakamuuliza ni SHS,jamaa akakataa...
4 Reactions
6 Replies
258 Views
Anonymous
Hivi karibuni kumekuwa na mjadala kuhusu baadhi ya wanawake kuvaa mavazi yanayoonekana kama nguo za ndani katika maeneo ya umma. Je, hali hii inaendana na kanuni na maadili ya mavazi katika jamii...
0 Reactions
0 Replies
44 Views
Wazee wa big deal, NAIONA hii kama fursa ya kupata mamilioni kibao, kuanda tour na kumzungusha rose muhando kufanya matamasha pesa ipo wakuu amini hilo, hot song kama nibebe, UTAMU nk zinatosha...
1 Reactions
2 Replies
100 Views
Nimeshangazwa na kauli ya nchimbi kujiuzulu umakamu wa urais.hiv wadau ni kipi kinaendelea CCM maana hatuwaelewi??
4 Reactions
6 Replies
215 Views
Anonymous
Mji mdogo wa Bomang'ombe, uliopo Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, umekuwa ukikua kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni. Hata hivyo, ukuaji huu umeletwa na changamoto kubwa ya uanzishwaji wa...
2 Reactions
6 Replies
218 Views
Hawa jamaa ni week ya tatu sasa tangu niweke fingerprint pale ofisini kwao,tena ilikua kwa mbinde sana. Wao kila siku ukienda pale ofisini kwa unawakuta tu wamekaa wanapiga story za kipuuzi...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Zamani, watu wazima walikuwa wanakutana sokoni, kanisani, misikitini, au kupitia marafiki. Lakini leo, kupata mwenza kumehamia kwenye mitandao kama Tinder, Badoo, DM za Instagram, na makundi ya...
23 Reactions
140 Replies
2K Views
Nipo hapa kwa fundi viatu na-brush viatu vyangu nikasikia wadau wakipiga story kuwa, mzee wa kanda ya kati anaenda kuwa VP na yule mwana mdekaji anaenda kuwa PM. Mimi naendelea kuwasikiliza hawa...
3 Reactions
1 Replies
162 Views
Kuna umuhimu wa kufikiria watoto kabla ya watu kuamua kuzaa? Mfano kiwango cha akili cha mwenza wako na kimo.
3 Reactions
5 Replies
116 Views
Lancefort Ltd ni kampuni iliyosajiliwa nchini Russia miaka kadhaa iliyopita, na kwasasa haifanyi kazi kwa kipindi kirefu baada ya watendaji wake kupotea gafla kwa mazingira ya kutatanisha. Kutoka...
208 Reactions
1K Replies
271K Views
Anonymous
Sina Nia mbaya kwenu ila Kuna Taarifa Nimepata kuwa kuna Nyumba IMEPANGISHWA but ndani Wamefanya Kiwanda Bubu cha Kutengeneza Pombe kali Jina la Pombe inaitwa "RISASI GIN", awali Iyo Nyumba...
4 Reactions
41 Replies
533 Views
Wakuu habari zenu. Leo nimeenda hospital kufanya vipimo baada ya kuichapa usiku kuchat Tena kavu kavu siku mbili mfululizo, Nilijua ni uhakika nitakuwa na Kaswende, lakini majibu yamesema hapana...
8 Reactions
89 Replies
1K Views
Mahakama ya Wilaya Dodoma imemfutia Onesmo Machibya ‘Nabii Tito’ mashtaka ya jaribio la kutaka kujiua baada ya taarifa za kitabibu kuthibitisha kuwa ana matatizo ya akili. Baada ya kutoa hukumu...
6 Reactions
22 Replies
5K Views
Nimeona UTT inajadiliwa sana kuna mmoja amesema ukiwekeza mil 50 kila mwezi utapata faida ya 400k, Nataka nikope mil 50 NIWEKEZE UTT ili zile faida za 400k Kila mwezi nirejeshe benki mwisho wa...
19 Reactions
161 Replies
7K Views
Wasukuma tunasema; MWAMPA(mwamba) huyu hapa.!!! Maashiiine!!!😅 Kwa vile mwanangu anarusha sana mateke leo huko tumboni hence moyo kunienda mbio nitaandika kwa kifupi sana ujumbe huu ambao roho...
24 Reactions
179 Replies
2K Views
Back
Top Bottom