Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watoza ushuru Stendi ya Magufuli wanatoa risiti za aina mbili, wana risiti za Sh 500 na za Sh 2,000, mtu wa Bajaj ukiingia kuchukua abiria wanakuomba Sh. 1,000 kisha wanakupa risiti ya Sh 500...
0 Reactions
2 Replies
79 Views
Mimi mpaka leo naamini Princess DIana aliuliwa na British Royal Family Ile ajali haikuwa ya kawaida kabisa. Mwaka 1996, Diana aliandika barua akihofia kuwa aliyekuwa mumewe (Charles) alipanga...
9 Reactions
40 Replies
529 Views
Mimi ni mkazi wa Mpiji Magohe. Kero yangu ni kuhusu huduma ya maji. Tangu DAWASA walipopitisha bomba la maji katika eneo letu, hakuna maji yaliyowahi kutoka hadi sasa, licha ya kuwa tayari ni...
0 Reactions
0 Replies
9 Views
Huwa kuna stori nyingi ambazo sio halisia au tuseme wanaosimulia wanaongeza chumvi nyingi lakini inapokuja kwenye uhalisia mambo yanakuwa tofauti kwa muhusika. Embu tukumbushane wakuu tuliyopitia...
13 Reactions
49 Replies
479 Views
Kuna changamoto pale Stendi ya Magufuli, Mbezi last week mke wangu alishukia hapo Saa 5 Usiku, wakati anatoka nje walinzi walimkomalia alipie Sh 2,000 ndiyo atoke nje ya stendi. Kwa kuwa alikuwa...
1 Reactions
3 Replies
49 Views
Wakubwa naaamini hum ndani Kuna watu wa wa TCRA au wizara husika , haya makampuni ya simu ni kama yanajiendeshe yenyewe / yanajiamulia mambo hizi ni kero kwangu imekuwa to much 1.kifurushi...
1 Reactions
3 Replies
52 Views
TANESCO Niliomba huduma toka mwezi 1-2026 mpaka sasa huduma hamna, hivi ni kwanini mnakuwa na maneno matam ila kwenye vitendo ni 0? Kuhusu ombi langu la kuunganishiwa umeme. Mchakato wa ombi...
1 Reactions
2 Replies
276 Views
Abiria wa Mwendokasi tuna changamoto ya kadi kutopatikana, tukiomba kupatiwa tunaambiwa hazipo unalazimika kumbembeleza mtu akukatie ticketi kwa kadi yake. Upande wa simu kwa watu wenye iPhone...
0 Reactions
1 Replies
21 Views
Kila siku huwa nasema ugumu wa Maisha upo popote pale usijidanganye kwamba kuhama nchi ndio kufanikiwa , wanaohama nchi na kufanikiwa ni wale waliofanikiwa kwenye nchi zao walizotoka , kama...
26 Reactions
281 Replies
3K Views
Wanaume mpini wa bua Habari zenu asbh hii!! Jtatu nyingine wapendwa wenu wameenda kuambatana na waume zao maofisini(kazini) Leo watatoana Lunch kama kawaida na mambo kadhaa wa kadhaa watafanya...
11 Reactions
60 Replies
503 Views
Nina malalamiko juu ya Vituo vya Mwendokasi njia ya Mbagala - Kivukoni na Mbagala - Ilala Boma, abiria huteseka kupata huduma ya washroom kwa sababu ya kusubiria mabasi muda mrefu hususan jioni...
0 Reactions
1 Replies
15 Views
Ujenzi wa Soko Kuu la Kisasa katika Halmashauri ya Mji Bariadi, Simiyu, umefikia asilimia 48, likitarajiwa kuwa na uwezo wa kuhudumia wafanyabiashara zaidi ya 1,000 na kufanya shughuli za biashara...
0 Reactions
3 Replies
36 Views
Manispaa ya Ubungo imewataka wananchi kuchukua tahadhari na kujiandaa kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza kutokana na mvua kubwa zinazoweza kuambatana na hali ya El Nino katika msimu wa...
4 Reactions
6 Replies
107 Views
Utabiri wa sasa unaonyesha kuwepo kwa "Super El Niño" inayokuwa kwa kasi kubwa na inayoweza kuweka historia. Hali hii inatokea katika Bahari ya Pasifiki na inatarajiwa kufikia kilele mwishoni mwa...
24 Reactions
180 Replies
3K Views
Uwanja wa Ndege wa Arusha umeboreshwa kwa kuongeza muda wa huduma hadi saa 24, kutoka kufungwa saa 12 jioni. Njia ya kuruka na kutua ndege imeongezwa kutoka km 1.64 hadi km 1.84, huku eneo la...
0 Reactions
2 Replies
34 Views
Huku Dodoma Mpwapwa kuna hali inayoendelea kuhusu vijana waliokuwepo mtaani wanakamatwa kwa nguvu bila kujali wanafanyabiashara au la !..halafu wanaanza kufanyishwa mazoezi ya mgambo. Wakati...
0 Reactions
1 Replies
38 Views
Wana silika za takafuri? Silika za utafiti? Silika za kushangaa?
8 Reactions
147 Replies
3K Views
Wanafunzi wa UDSM hasa Engineering na Law , Tangu wanapoingia mwaka wa kwanza mpaka wanamaliza , wanakuwa wamekula kama unavyoona.
4 Reactions
21 Replies
268 Views
Habari za jioni. Tunaomba Kwa maslahi ya ustawi wa elimu wilayani Kilindi Tanga taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa wawachunguze chama Cha walimu Kilindi Tanga kwakuwa ndio wanaohusika na...
1 Reactions
1 Replies
32 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…