Sio poa Dodoma wameweka historia ya kipekee unaambiwa chinangali ili pelea kutokana na mauzo ya TIKETI kuwa makubwa kilicho fuata ikabidi ukuta uvunjwe pia kuunganisha Hadi parking, ili watu...
Yesu alifanya huduma yake hadharani (public ministry). Sasa haya matokeo ya mama yake yaliyoripotiwa kwa nini ni ya kusiri (private) tu kiasi cha kuligharimu kamisa katoliki miaka kadhaa ya...
Imethibitishwa kuwa miaka zaidi ya 500 kutoka sasa sokwe wote waliopo duniani watakuwa wanadamu, mabadiliko kama proof yameshaanza kuonekana kwa baadhi ya sokwe hadi leo.
Wanachojiuliza ni kwamba...
Sisi ni madereva wa Halmashauri ya Mji Kondoa, na tungependa kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu changamoto tunazokutana nazo kazini, hususan kuhusu mwenendo wa Afisa Usafirishaji wetu...
Mfumo wa anuani za makazi (NaPA) una changamoto katika mchakato wa kuomba barua ya utambulisho. Tangu wiki iliyopita mfumo huo haujafanya kazi; kila unapojaza taarifa unaambiwa kuwa kuna hitilafu...
Habari za muda huu wana-JamiiForums,
Kuna wakati unakaa na kutafakari jinsi maisha yalivyobadilika kwa kasi sana hasa kwa sisi tuliobahatika kuzaliwa na kukulia katika miaka ya 1970, 1980, na...
Mbinguni ni Raha..
Tujifunze kumtukuza Mungu anapotuvusha kwenye mapito...
Tujipe raha wenyewe:
Wote na Tuseme:-AMEEEN.
https://m.youtube.com/watch?v=cX9ngxvoDE4...
Kuna clip nimeona Sheikh Walid anatoa daawa mi
sikitini halafu wanainuka watu wanampa pesa kwa kumuwekea kwenye mifuko ya koti, kumshikisha mkononi na nyingine hadi kwenye bargashia!
Huu...
Huu Uzi Maalumu wa Kupeana Connection za Waganga wa Kienyeji na Shuhuda Mbalimbali.
Kikubwa Toa Shuhuda Elezea Location alipo Mawasiliano sio Muhimu kwa Kuwa watembeaji ni Watu wa Kujiongeza...
Madogo mnaochipukia kunako KIMASIHARA, Kaeni kwa PASSWORD kwa zama tulizopo usiumize sana kichwa.
Mchukue mpeleke hospitali ya serikali, mwambie doctor sisi hatuumwi tumekuja kufanya check-Up...
Habari wana jf! Leo hii nami naomba nitoe shuhuda na vimbwanga nilivyo vikuta kwa mganga baada ya kuona hapa wanajamii f. Wanatoa shuhuda zao mbalimbali.
Nianze kwa kusema waganga wa kweli wapo...
Habari zenu,
Nimekuja hapa kuomba msaada wa haraka.
Ni miaka miwili nipokwenye hizi ibada za meditisha na Taamuli .
Nilizoea na kupata utulivu mkumbwa sana wa akili ila sasa navuka mipaka na...
Unapofika Stendi ya Mbezi na kuhitaji huduma ya choo kwenye ghorofa ya kwanza, unatozwa Sh300 bila kupewa risiti. Hata hivyo, ukienda ghorofani kwenye waiting lounge, unatozwa Sh200 na unapewa...
Sijajua ni tafsili ya kitaalam au mazoea ya mtaani ila mala nyingi tunaambiwa mtu aliyekufa amekata ROHO saa flan ila mimi naonaga kama moyo ndio ulio zima muda flan maana mambo ya moyo na akili...
Yani ni aidha wa pili au wa Tau au wa nne.namba hizo tajwa
Hata ikiangukia mwishoni.
Yani ikiwa umezaa watoto watano basi ni yule wa tatu au wa nne.
Ikiwa umezaa wanne basi ni yule wa tatu...
Sakata linalomhusu Mariam Kijumbe limeendelea kuteka mjadala mkubwa mitandaoni, hasa baada ya watu mbalimbali kujitokeza kudai fedha zao walizoweka kwenye kile kinachoelezwa kuwa ni mchezo wa...
Hakuna Mungu wa kuzuia wewe usife kwa kuwa unamshukuru kwa uhai!
Hakuna Mungu wa kukulinda, kwa vile eti unamshukuru kwa uhai!
Utakuta watu wanajipa matumaini uchwara ya kijinga, Eti...
Kokote duniani wanaharaki wamekuwa chanzo kutetea haki za watu na tuwape maua wanawatetea wanyonge lakini wakati mwingine imeleta madhara makubwa sana.
Wanaharakati duniani wameleta mabadiriko...
Nje na kushusha garama za umeme na kufanya usikatike itakua ngumu sana kuwaambia wananchi kua bwala lina faida,umeme mwingi na wakutosha (hakutokua na tofauti kama zamani)