Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwa mujibu wa ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (@nbs.tanzania) iliyotokana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, hii ndio mikoa yenye watu wengi zaidi wasiojua kusoma wala kuandika. Je Mkoa...
6 Reactions
29 Replies
795 Views
Kuomba kwa bidii kama Eliya ni kuomba kwa namna gani Maandiko yanasema Eliya aliomba kwa bidii hadi akasimamisha mvua kunyesha kwa muda wa miaka 3 na nusu (Yakobo5:17) Je, kuomba kwa bidii ni...
1 Reactions
0 Replies
68 Views
Kama mnavyojua hivi karibuni mh.Rais aliteua tume ya kuchunguza yale yaliyofanyika/tokea October 29 na sasa rasmi tume ndo iko mzigoni kufanya yao. Na kulingana na kilichotokea juzi kwa makamu...
2 Reactions
11 Replies
265 Views
Kwanza kabisa kuna dhana mbaya sana kuhusu eti wanaume hawaumizwi na mapenzi... My friends si mnajioneaga jinsi wanavyojiuwa? It's no joke. Mkimwona mwanaume haendekezi wanawake na mwenye...
3 Reactions
33 Replies
472 Views
MABADILIKO YA SHERIA YA MAFAO YA VIONGOZI NA FAMILIA ZAO: Jina la sheria - THE POLITICAL SERVICE RETIREMENT BENEFITS ACT, (CAP. 225) "THREAD" BADILIKO 1: Ongezeko la kifungu kipya cha 9A...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Jaman nimekutana na changamoto hio mfumo una load tangu asubhi
0 Reactions
5 Replies
80 Views
1. Sikudhani 2. Mwamvita 3. Chiku 4. Mwadhani 5. Sipati 6. Jualako 7. Ubaya 8. Havijawa 9. Havintishi 10. Hakai 11. Hazimala 12. Msichoke 13. Ongeza yako Siku hizi mitaani kuna majina ya kisasa tu...
12 Reactions
75 Replies
3K Views
Anonymous
Mimi ni mwananchi na mfanyabiashara mmojawapo miongoni mwa wamiliki wa nyumba na viwanja zaidi ya 100 vilivyopo katika eneo la Ubungo Riverside, pembezoni mwa stendi ya basi (Riverside). Eneo...
1 Reactions
4 Replies
232 Views
Viongozi wa Serikali za Wanafunzi kutoka Vyuo 12 vya Elimu ya Juu Mkoa wa Dar Es Salaam wameanza ziara ya kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo hapa Nchini Ili kuangalia namna Nchi yetu...
0 Reactions
7 Replies
191 Views
Kwenye ujasusi Mkuu wa operesheni ,kiongozi wa serikali akitaka kujua kama Afisa usalama au jasusi anamletea taarifa za uongo au za ukweli unatumia mbinu hii. πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»πŸ‘‡πŸ»...
3 Reactions
16 Replies
375 Views
Hadi Juni 2026, jumla ya kaya 276,000 zimesajiliwa katika mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, sawa na asilimia 100 ya kaya zilizolengwa katika awamu ya kwanza. Hatua hiyo inaendelea kuimarisha...
1 Reactions
3 Replies
72 Views
Ticket za Ndege Dar to Mwanza sio fair zipo juu sana ukilinganisha na miezi sita ya nyuma
4 Reactions
20 Replies
354 Views
Katika kitu najifunza siku za hivi karibuni ni kuwa mafanikio hayaji by chance. Kuna namna Mungu amemcraft kila kiumbe kutokana na uwezo wake, but we humans have a free will. Na huu ndo mtego...
11 Reactions
41 Replies
456 Views
Nikiwa miongoni mwa waombaji tuliopata neem ya kuhudhuria kongamano la 18 la maombi ya kutafita makao makuu ya serikali Dodoma. Miongoni mwa masomo ambayo tulipata kujifunza ni juu ya umuhimu wa...
2 Reactions
2 Replies
128 Views
Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, wamewasili nchini baada ya kuamua kurejea nyumbani kwa hiari, kufuatia vuguvugu la kupinga wageni linaloendelea...
0 Reactions
1 Replies
88 Views
Yaani unavyopakaziwa wakati wanakudondosha utafikiri haujawahi kufanya lolote chochote. Pole sana ema ze boy.
1 Reactions
0 Replies
54 Views
Minara 758 iliyojengwa katika kipindi cha miaka miwili iliyopita imeongeza upatikanaji wa mawasiliano kwa wananchi milioni 8.5 katika vijiji 1,400, hatua iliyochangia kuongezeka kwa laini...
0 Reactions
1 Replies
37 Views
Sijaingia kwenye mioyo ya watanzania ila kwa vyovyote 70% kuna jambo wanaomba,wanatamani litokee apa nchini nao wafurahi
1 Reactions
0 Replies
38 Views
Mimi ni Mkazi wa Pugu,Ninapokuwa njiani kuelekea kazini/Mjini nilikuwa nikishuhudia kuvunjwa kwa sehemu ya uzio wa shule na ujenzi wa frame za maduka.... Hiyo shule ni ya elimu ya Msingi Pugu...
5 Reactions
28 Replies
398 Views
Bi. Khadijah binti Nyambasi kutoka mkoa wa Pwani, akielezea namna mchezo wa bao unavyotumika kufanya maridhiano toka enzi za mababu. Katika mazungumzo yake aliyoyafanya kwenye Tamasha la nne la...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…