Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tuseme nae amechangia kufanya jihad na akafa kama mpambanaji. Akipokewa huko, atapewa mabikra hawa kama straight men wengine? Sasa najiuliza, atawaweza kweli? Au kuna mbdadala wake ?😁
2 Reactions
7 Replies
133 Views
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa maneno ya kijasiri ailyoyasema mbelel ya hadhira kuwa katika vitu vya msingi vya kuungana watanzania kwa faida ya sasa na vizazi vyetu ni kudai katiba mpya...
4 Reactions
6 Replies
159 Views
Hapa JF kumekuwa na visa nyingi vya watu kuja na nyuz za kujikatia tamaa na wengi wao ni wanaume.hata hapa tanzania wanaume wanaongoza na viza vya kujiua. Kwa kwel maisha ya mwanaume ni mateso...
4 Reactions
12 Replies
196 Views
Wanasema kuzalliwa masikini sio chaguo lakini, kufa ukiwa masikini ni KUJITAKIA ikiwa umezaliwa Tanganyika. Kufuatia tafiti yangu fupi niliyoifanya kupitia matukio ya kisiasa na Yale ya kijamii...
18 Reactions
24 Replies
462 Views
KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili...
4 Reactions
0 Replies
228 Views
Kazi ya kutulinda sisi raia wenu imewashinda? Ikiwa mnaweza kutumia risasi kuwaua majambazi na wahalifu sugu mnashindwa vipi kumtafuta na kumtia nguvuni mhalifu anayehusika na utekaji, mauaji ya...
5 Reactions
15 Replies
310 Views
Nipo Ugenini huku Mikoa ya Kaskazini, nimekuta kwenye hii familia watoto wana tabia ambayo imenishangaza sana na wazazi wanachukulia poa tu, Jana tulikwenda sehemu wakanitembeze nione miazingira...
13 Reactions
38 Replies
809 Views
Alfa Male ni nani? Ni Jambo la msingi na muhimu kujiuliza Alfa Male ni nani?. Mwanaume wa Kweli ni nani?? Katika ujuzi wangu wa masuala ya maadili na asili,naweza kumfananisha Alfa Male na...
0 Reactions
6 Replies
105 Views
Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Leonard Akwilapo, ametolea ufafanuzi malalamiko yanayohusu migogoro ya ardhi katika maeneo mbalimbali nchini, huku akisisitiza...
0 Reactions
0 Replies
256 Views
Ni kijana mdogo tu kisiasa na kaweza kupata cheo namba 2 kikubwa nchini kinachomuhakishia uhakika wa maisha safi hata baada ya kustaafu MAFAO BAADA YA KUSTAAFU Pensheni ya kila mwezi: 80% ya...
1 Reactions
6 Replies
167 Views
Talmud ni kitabu cha mafundisho ya kidini cha Wayahudi. Eti kinasema bwana Adamu aliwapiga nao wanyama wote hapa duniani kabla ya kuletewa bibie Eva. Dunia ina mambo sana. Ila hii inafanya...
4 Reactions
16 Replies
276 Views
“Mtihani mkubwa siyo umaskini au ugonjwa, bali ni mtu kupewa neema nyingi kisha asishukuru.”
1 Reactions
1 Replies
39 Views
TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU UTARATIBU WA UGAWAJI WA MASHAMBA KATIKA SHAMBA LA MITI WEST KILIMANJARO Agosti 27,2026 - Dodoma, Tanzania Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umefuatilia...
1 Reactions
1 Replies
113 Views
Fikiria unatembea mtaani, kisha unamwona jirani yako anatoka nje na kuanza kucheza muziki katikati ya barabara. Hakuna spika, hakuna radio, wala hakuna wimbo wowote unaopigwa... lakini anacheza...
3 Reactions
6 Replies
213 Views
Kwa mujibu wa ripoti ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (@nbs.tanzania) iliyotokana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022, hii ndio mikoa yenye watu wengi zaidi wasiojua kusoma wala kuandika. Je Mkoa...
6 Reactions
29 Replies
794 Views
Kuomba kwa bidii kama Eliya ni kuomba kwa namna gani Maandiko yanasema Eliya aliomba kwa bidii hadi akasimamisha mvua kunyesha kwa muda wa miaka 3 na nusu (Yakobo5:17) Je, kuomba kwa bidii ni...
1 Reactions
0 Replies
67 Views
Kama mnavyojua hivi karibuni mh.Rais aliteua tume ya kuchunguza yale yaliyofanyika/tokea October 29 na sasa rasmi tume ndo iko mzigoni kufanya yao. Na kulingana na kilichotokea juzi kwa makamu...
2 Reactions
11 Replies
265 Views
Kwanza kabisa kuna dhana mbaya sana kuhusu eti wanaume hawaumizwi na mapenzi... My friends si mnajioneaga jinsi wanavyojiuwa? It's no joke. Mkimwona mwanaume haendekezi wanawake na mwenye...
3 Reactions
33 Replies
471 Views
MABADILIKO YA SHERIA YA MAFAO YA VIONGOZI NA FAMILIA ZAO: Jina la sheria - THE POLITICAL SERVICE RETIREMENT BENEFITS ACT, (CAP. 225) "THREAD" BADILIKO 1: Ongezeko la kifungu kipya cha 9A...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Jaman nimekutana na changamoto hio mfumo una load tangu asubhi
0 Reactions
5 Replies
80 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…