Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Darasa la saba wakiwa wanamaliza, madalali wa kisukuma wamekita kambi lake zone kuchukua mabinti wa kazi. Madalali hao wanakupigia simu utume nauli, anakuletea mtoto ambaye kwanza ana uwezo wa...
4 Reactions
2 Replies
100 Views
Kuna Wasichana na Wanawake Wagalatia zaidi ya Watano nawafahamu wote sasa hivi wanavaa ushungi!
11 Reactions
143 Replies
2K Views
Acha marafiki fake waende Mwache muigizaji aende, Mwache kausha damu aende. Ziache tabia mbaya ziende, Acha past yako iende, Acha kazi isiyo na hadhi iende. Acha "wewe" yule...
1 Reactions
2 Replies
63 Views
Kila safari ya uongozi huanza na hatua moja na kwa Deogratius John Ndejembi, hatua hiyo imejengwa kwa miaka ya uzoefu, utumishi na majukumu mbalimbali katika uongozi wa umma. Kutoka katika ngazi...
0 Reactions
0 Replies
115 Views
Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote. Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke mgumba wa mchungaji anatafuta mtoto kwa...
26 Reactions
256 Replies
2K Views
Hawa ndio wanasiasa 3 Ambao napenda Kuwasikiliza wanapotoa Hotuba zao. 1.Mh.Samia Suluhu Hassan -Huyu Huwa anaongea Kwa utulivu wa Hali ya Juu na ulimi wa kiungwana,hanaga makeke Wala mihemko...
2 Reactions
14 Replies
206 Views
Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania PLC, Chiha Nchimbi (kulia), akikabidhi dawati kwa Diwani wa Kata ya Kilosampepo, Boniventure Killian Mwanga (kushoto), dawati hilo ni mojawapo ya madawati...
1 Reactions
0 Replies
74 Views
Kampuni nyingi za USA, German zimefungua viwanda China Mf Apple, Tesla, Voksiwagen ingawaje kampuni bado ni za USA au Ulaya
0 Reactions
2 Replies
51 Views
Ikitokea katiba ikabadilika au katika mabadiliko machache machache ya ibara. Tusisahau uhuru wa kujitegemea kwa halmashauri katika mambo yake hasa mapato. Hii itapunguza upigaji katika serikali na...
0 Reactions
0 Replies
51 Views
Kama kuna mtu mwenye experience kwenye placticals hizi au anayefahamu organizations, NGOs, projects au institutions zinazopokea interns, naomba anipe direction au go-ahead. Any guidance...
0 Reactions
1 Replies
54 Views
Taarifa hizi ni kulweli?
2 Reactions
16 Replies
306 Views
  • Poll Poll
Video za Bongo Fleva zina hamasisha Ushoga na kinyume na maumbile? Nyimbo ndio zinahamasisha/ Mashairi? Mavazi ndio yanahamasisha?
2 Reactions
4 Replies
97 Views
Napenda kuandika haya yafuatayo kwa uchungu mkubwa sana na kama jamii pamoja na Serikali itapenda kulichukulia jambo hili kwa umakini mkubwa itapendeza sana. Daktari ni mtu pekee hapa Tanzania...
26 Reactions
155 Replies
4K Views
Anonymous
Mfumo wa kupata namba ya foleni (kikaratasi) unapokwenda CRDB kupata huduma una changamoto. Unakuta mfumo unaonyesha muda wa kusubiri ni dakika 11, lakini unapata huduma baada ya zaidi ya saa...
0 Reactions
0 Replies
61 Views
Mchina huko anafanya zoezi la kuzi train drone kwa algorithm ya kuua mbu kwa kuzichapa laser beam. Hii kwa jicho la tatu ni message kama tu ameshaweza kuya train ma chip ya AI ndani ya drone...
9 Reactions
23 Replies
539 Views
Mwimbaji, Ariana Grande ameingia tena katika mvutano na utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu matumizi ya muziki wake. Mwimbaji huyo mwenye umri wa miaka 33 alidai kwamba nyimbo zake...
1 Reactions
4 Replies
101 Views
Habarini za jioni, kwa kweli leo nimepata changamoto kubwa kwa kuliwa pesa yangu. Tufupishe mada mimi nipo wilayani Kisarawe nilivuta umeme tarehe 7.2.2026 na kuanzia hapo nimekuwa nikikatwa kodi...
4 Reactions
8 Replies
811 Views
Anonymous
Ni takribani mwezi na nusu sasa kumetokea changamoto ya upatikanaji wa maji katika Manispaa ya Musoma. Mwanzoni tuliambiwa tatizo lilisababishwa na upungufu wa umeme kwenye pampu za kusukuma...
0 Reactions
0 Replies
293 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…