Katika mabadiliko ya katiba tusisahau hili

Katika mabadiliko ya katiba tusisahau hili

insane

Member
Joined
Jun 9, 2026
Posts
11
Reaction score
20
Ikitokea katiba ikabadilika au katika mabadiliko machache machache ya ibara. Tusisahau uhuru wa kujitegemea kwa halmashauri katika mambo yake hasa mapato. Hii itapunguza upigaji katika serikali na kusaidia kupunguza nafsi za kazi zisizo na umuhim lakni pia mamlaka makubwa ya mtu mmoja. Halmashauri itakula kulingana na kujituma kwake.

Haiwezekani nitoe 10000 wakati wa kurudi inarudi irudi 1500 tena kwa kuililia lilia bungeni.

Asante na kwahelini
 
Back
Top Bottom