Kumbe em yupo kizuini na amenyaqanywa cm

Kumbe em yupo kizuini na amenyaqanywa cm

Na Watanganyika wote mmezama chini ya maji mnagumia kwa mbaaali sana....Watu wamejiuzulu wengi sana mbona hatujaona wanakamatwa???

Kama kosa la EN ni hilo la Kusema Katiba ni hatari sana hii nchi... Kwa kauli ya Judge Warioba inatakiwa hawa watu wamuachie Nchimbi au wataje makosa yake maana tunajua majizi yanaumiza nchi hayajakamatwa... Kwann mtu aseme Katiba akamatwe??
 
Na Watanganyika wote mmezama chini ya maji mnagumia kwa mbaaali sana....Watu wamejiuzulu wengi sana mbona hatujaona wanakamatwa???

Kama kosa la EN ni hilo la Kusema Katiba ni hatari sana hii nchi...
Shida hao Wana bunduki na silaha zingine watatumaliza
 
Back
Top Bottom