Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 2,851
- 5,839
Nimekuwa nikisikia shuhuda nyingi redioni kuwa yesu amebadilisha maisha yangu, nilikuwa na madeni yote yamefutika. Mwingine alikuwa na magonjwa yaliyoshindikana lakini alipona.
Wadau, mbona kwangu haya mambo na hizi stori logically hazimake sense?
Wadau, mbona kwangu haya mambo na hizi stori logically hazimake sense?