Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mnatudanganya na makamera yenu. Mtajiita A list, ila watanzania wana A list zao na watabaki nazo Wolper, Irene, Kajala na Aunty ni kipi cha maana mlicho inspire kwa mabinti katika hili taifa...
7 Reactions
5 Replies
133 Views
Kama wanyama flani wapo na aina zao kwanini isitambuliwe kwa binadamu pia? Tunaona ng'ombe wapo katika types tofauti, nguruwe, mbwa, kuku, tembo nk. Kwanini binadamu tusiwepo kwenye types...
0 Reactions
1 Replies
103 Views
Madalali wa nyumba jijini Dar es salaam wamekuwa matapeli kwa miaka, sasa wamewafundisha wenzao wa mikoani kama Kilimanjaro, Arusha , Mwanza, Mbeya na Dodoma. Madalali ndio wamekuwa wakipandisha...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
Maisha yanafikirisha sana Mim ni form 4 point 29 enz hizo 2011 .Kichwani nipo empty kiasi chake Yote ni mipango ya Mungu .ckuwa na wazazi mambo ni mengi Tena hayaelezeki, Wabongo. wanasema mambo...
4 Reactions
8 Replies
96 Views
Wale wajuvi wa mambo naomba msaada kama kuna chuo rasmi kama ilivyo kwa fani zingine zinazotolewa VETA.
2 Reactions
2 Replies
43 Views
Kama ilivyokua na aina za ngombe, kuku, mbwa, punda, papa wapo wa aina tofati haswa kutokana na ubora na mapungufu yao hata binadamu TUPO KWA AINA TOFAUTI na hatupo sawa kama dini na sayansi...
2 Reactions
7 Replies
76 Views
Anonymous
Wakazi wa Iringa Mjini tunapandishiwa nauli za daladala katika njia kutoka Stendi ya Zamani kupitia Igumbilo hadi Stendi Kuu ya Mabasi na Viwengi, magari yanayofanya safari katika njia hii...
0 Reactions
3 Replies
46 Views
UMAKINI MITANDAONI Unapoandika ujumbe wowote mtandaoni, unapoweka picha zako au picha za matukio au mahali ulipotembelea/ unapotembelea na/au unapoishi; hizo ni nyaraka zinazoweza kutumika...
9 Reactions
28 Replies
307 Views
Ubinafsi sio kuwa mchoyo tu, hata ile hali ya kutanguliza sana watu mnaofanana kabila kuna element za ubinafsi WASUKUMA - Sehemu unayoweza kwenda hata ukiwa mgeni na ukapewa ushirikiano kwenye...
20 Reactions
103 Replies
3K Views
Hii biashara ni hatari yani ukikosea steps umekufa wewe. Watu hawana huruma ukipoteza hata dollar 500 kupigwa chuma ni dakika Moja Hii biashara ukijiingiza kutoka ni nguma sana once a mafia...
21 Reactions
153 Replies
2K Views
Mafundisho makuu aliyofundisha Yesu mwenyewe mfano wa mafundisho ya akina Budha au Confucius ambayo ni ya kipekee (unique) yeye akiwa kama muasisi wake ni yapi ?
5 Reactions
57 Replies
253 Views
NB: Tanzania hakuna wasomi 1. Paulo: "Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zetu" 1 Wakorintho 15:3 "Maana nilikwisha kuwapa, kwanza kabisa, yale niliyopokea pia; ya kwamba Kristo alikufa kwa ajili...
0 Reactions
9 Replies
68 Views
ShesRise_1 ni mweupe, mrefu ila hana makebo makubwq win-one ni mweusi mng'ao, mnene kiasi, sio mrefu, sio mfupi Seran ana nyoa hasuki, ni mweupe kiasi, hana makebo makubwa ila kiasi Mallerina...
12 Reactions
63 Replies
532 Views
Sijawahi kikutana na huyu Dada, ila nakumbuka tokea enzi za fastjet, mpaka ki grocery kwenye frame moja pale tabata, mpaka baa kubwa, Tabata, sinza na mbagala, Mara kuna ile microfinance, mara...
6 Reactions
17 Replies
425 Views
Wakuu, hawa watoto wetu sometimes wanajua sana kutuaibisha/ kutuangusha. Jumatatu iliyopita nilishiriki mahafali ya darasa la Saba ya binti yangu. Mambo yalikwenda tu vizuri mwanzoni, lakini...
19 Reactions
70 Replies
777 Views
Kazi tamu ila imedharaulika na watawala mno, yani unakutana na askari wa hivi anakuuliza kwa nini unatembea na gari tairi kipara😅😅 Pumbavu sana
9 Reactions
29 Replies
368 Views
Akizungumza katika maadhimisho ya miaka 30 ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Rais Samia amesema uchumi wa nchi unaendelea kukua kwa kasi huku fursa za biashara zikizidi kufunguka, hivyo ni...
1 Reactions
4 Replies
567 Views
Nasemajee kusamehe ni weakness kama ni ubaya ubaya Mtu akikufanyia umafia usimuache hivi hivi dili nae kisawasawa I'm out Kisasi ni haki
10 Reactions
74 Replies
544 Views
Mrembo kutoka Tanzania, Rushyna, amewaacha watu mdomo wazi baada ya kushindwa kuzungumza Kiingereza alipokaa mbele na kuitwa Mbele Kama Celebrity wakati wa Mashariki Creative Economy Expo 2026...
12 Reactions
107 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…