Meli inayodaiwa kuwa ya kubeba mafuta imewaka moto katika Bandari ya Kigoma, iliyopo Manispaa ya Kigoma Ujiji Mkoani Kigoma.
Kwa mujibu wa taarifa za awali, moto huo umezuka usiku huu wa Agosti...
Dar es Salaam ni jiji linalokua kwa kasi. Kila siku watu wanakuja kutafuta fursa, kujenga maisha na kuwekeza. Lakini nyuma ya ukuaji huo, kuna mabadiliko yanayoanza kuibua maswali mazito kuhusu...
Muziki si burudani tu. Ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku — inayoathiri hisia, akili, na hata mwili wetu kwa namna ya kushangaza.
Tangu utotoni, muziki hutusaidia kujifunza. Watoto hukariri...
First, You never fit in
Hujawahi kuendana na makundi au mifumo ya kawaida. Tofauti yako ndio alama ya ukuu wako.
Ukijiunga na watu kwa jambo lolote wenzio watakua hawakuelewi na wewe huwaelewi...
Takribani miaka 30 ya muziki wa Bongofleva, imekuwa wazi kwamba muziki, maisha na safari huenda sambamba. Nyimbo hutengeneza kumbukumbu za kipekee zinazohusishwa na maeneo, hali ya hewa, mandhari...
Kampuni ya kichina iliyowekeza kwenye mradi huu imemaliza upembuzi. Inatarajia kuanza kazi serious mwishoni mwa mwaka huu.
Mchuchuma kuna makaa ya mawe tani milioni 428. Mradi unategemea...
Hiki ni kisa cha kushangaza kilichosimuliwa na mwandishi Amos Malupenga alipokuwa akimhoji Guy Scott kuhusu maisha yake. Miongoni mwa mambo mengine, alieleza jinsi alivyofukuzwa isivyo haki kama...
jambo wadau wote wa Jf
-Awali ya yote niwape pole na mapambano ya kimaisha na kiujumla nawapa pole kwa maumivu ambayo tunaletewa na serikali hii ya kishenzi ya samua suluhu.
note:sio mwandishi...
“Jamaa ni Profesa? Wapi bwana. Tulisoma naye. Shule alipata three.”
“Mchungaji? Kweli watu wana utani na Mungu. Tuulize sisi tuliocheza nae.”
“Jamaa kawa waziri? Kabebwa hakuna kitu pale. Shuleni...
Kijana mmoja wa Kiume alikuwa akipita nyumba moja hadi nyingine kulilisha tumbo lake lililokuwa na njaa, mwishoe akaamua kuomba chakula katika nyumba iliyofuata. Lakini Katika hiyo nyumba...
JIFUNZE KUTAFASIRI MAZINGIRA,ISIWE NI KIPINDI CHA KUTOKA WEWE UNANG'ANG'ANIA KUBAKI ✍️
WENGI TULIZAMISHA KUBAKI SEHEMU TUNAZOTAKIWA KUTOKA TUKAISHIA KUPOTEZA MUDA NA HESHIMA 😔
MAZINGIRA...
Tukijipumzisha kidogo na haya yanayo tokea nchini hebu tujadili hii issue kama kutafsiri kile kinacho endelea.
Katika kukuwa nilikuwa naskia huyu kijana, au huyu mtoto lazima aje aibadilishe hii...
MOROGORO: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhe. Timotheo Mzava, ameitaka Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuongeza nguvu katika kuboresha na...
70% ya watizii sabuni twaogea,twafulia,twaoshea vyombo sabuni ya kipande a.k.a sabuni ya mche yakufulia na hazijawai kuleta shida ila watatokea wajuaji tu watashika soko na kuleta figisu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amekitaka Chama cha Wazee Wanaume Tanzania (CCWWT) kutokuwa chama cha harakati...
Mpaka sasa waliojiuzulu wadhifa wao tena wa ngazi juu ni wengi.
Lakini hakuna hata mmoja ambaye alipokea vitisho au ilikuwa nongwa kwa yeye kujihudhuru.
Kwa nini kwa Emmanuel Nchimbi kesi iwe...
Enyi watu! Enyi wanadamu dhaifu! Tetemekeni kwa sababu ya ujasiri wenu wa kupita kiasi mnapotamani, bila kuona wazi, kumiliki elimu iliyo ya kina sana.
Inueni fikra zenu juu ya upeo wenu wenye...
Hakuna madhara ya moja kwa moja nimeyapata kupitia yeye.
Ila niseme tu ukweli kwenye maisha yangu sikuwahi kumchukia mtu kuliko ninavyomchukia huyu mama abduli na genge lake.
Ni heri nimuombee...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, pamoja na familia yake wameungana na waumini mbalimbali katika kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Jumapili, katika...
Tumeongeza idadi ya safari kati ya Dar es Salaam na Dodoma ili kukupa urahisi zaidi wa kupanga Safari zako kila siku.
Sasa una fursa ya kuchagua muda unaokufaa, kagua ratiba kuona muda wa...