Hilo kwasasa halipingiki kuwa, unapozungumzia maridhiano pande zinazohusika ni:-
kundi la kwanza linaundwa na watawala, serikali na vyombo vya dola na wafanyabishara wakubwa ambao wamehozi...
Kanuni za asili zinafuata sheria ya asili isiyokosea the law that doesn't err" . Hakuna kinachotokea bila sababu chanzi kwa sababu katika asili kila kitu ni sababu na matokeo. Mtu ni zao la...
Habari za muda huu waungwana, naomba kutoa kero yangu haswa kwenye Mkoa wa Morogoro, Wilaya ya Kilosa, mimi ni mkazi wa Dumila. Kumekuwa na kero ya wafugaji wa Jamii ya Kimasai kuingiza ng'ombe...
chukua chumvi na uibariki kwa namna hii:
Nakuwekea baraka katika jina la Baba, na la Mwana, na la Roho Mtakatifu. Amina. Baraka ya Mungu Baba Mwenyezi iwe juu yako, na wema wote uingie ndani...
Leo nimeacha chombo changu sehemu fulani, nikatembea kwa miguu kwa muda mrefu. Kwa kweli nilichokutana nacho njiani kimenifanya nitafakari sana kuhusu usalama wa watembea kwa miguu.
Nilipofika...
Hello
Nna passport, nafikiri sheria za Tanzania hazizuii mtu kumchangia mwengine figo Kwa makubaliano yao wenyewe binafs- nitachangia figo Kwa gharama ya pesa, kiufupi tunasaidiana tu, nauza figo...
Mtakatifu Yohane wa Damascus (c. 675–749) alikatwa mkono wake wa kulia na Khalifa huko Damascus baada ya barua ya kughushi kutoka kwa Leo III kumshutumu kwa uongo kuwa msaliti. Mt Yohana aliomba...
Dunia haina mwisho kwa maana kwamba siku ya kiama (heaven and hell).
Dunia itaendelea kuwepo barafu zitayeyuka milima itaongezeka spishi zitakufa na nyingine kuzaliwa hata binadamu watabadilika...
Wana-JF,
Kuna aina ya utajiri ambao taifa linaweza kuupoteza bila wenyewe kugundua. Mzee mmoja anapofariki kijijini, simulizi zote ambazo hazijawahi kuandikwa kwenye vitabu zinakufa pamoja naye...
Mf kuna stori niliadisiwaga na mzee mmoja mjeshi mstaafu kua TANZANIA ilishawai kua namba moja kwa ujasusi na upelelezi hapa DUNIANI tena kupitia ile mbinu pendwa ya kujifanya kichaa (UKAKASI...
Najua watu wanaopinga ndoa wengi hawataki tu kutimiza zile mila,taratibu na sheria za mauhusiano ya mapenz na familia ila wanashiriki ngono vizuri na wanamiliki watoto (HAWATAKI NDOA TU ila ngono...
1961 : Wakoloni na Viongozi wachache wa Tanzania
1962: TANU
1964-1965 - Karume + Nyerere
1977 : Watu 20 kwa masaa 3 bungeni
20.... Katiba mpya ????????
Katika kukenga uelewa kuhusu Ugonjwa wa Saratani, kupitia Maelezo Podcast tumemualika Daktari Bingwa wa magonjwa ya Saratani kutoka Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (OTCI), Dkt. Chrispin Kahesa...
https://www.youtube.com/live/f0qUr8D3buA?si=9YnTGIabH5P-V7hB
LIVE: Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba Leo Agosti 30, 2026 ni Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo...
"Kwenye madhara haya tumepata majeruhi pia wapatao 116, wanaume ni 56 na wanawake ni 60, ndugu Watanzania haya maafa ni makubwa sana, pia tumepata uharibifu mkubwa wa nyumba za kuishi, mashamba na...
Wadau hamjamboni nyote?
رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِّ شَىْءٍ عَلِيماً
“Muhammad is not the father of any of your men, but he is the Apostle of Allah and the...
Connecting East Africa: The Infrastructure That Binds the Region
• Standard Gauge Railway (SGR) — Tanzania’s SGR is being developed toward the western corridor, connecting Dar es Salaam with the...
Mji wa birmingham, ndio unaongoza kwa kuwa na wahamiaji wengi kutoka uarabuni, hii imelepekea kuchaguana katika nafasi za juu.
Uk na europe inaangamia mdogo mdogo