Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hiki ni kisa cha kushangaza kilichosimuliwa na mwandishi Amos Malupenga alipokuwa akimhoji Guy Scott kuhusu maisha yake. Miongoni mwa mambo mengine, alieleza jinsi alivyofukuzwa isivyo haki kama...
1 Reactions
1 Replies
172 Views
jambo wadau wote wa Jf -Awali ya yote niwape pole na mapambano ya kimaisha na kiujumla nawapa pole kwa maumivu ambayo tunaletewa na serikali hii ya kishenzi ya samua suluhu. note:sio mwandishi...
3 Reactions
11 Replies
169 Views
“Jamaa ni Profesa? Wapi bwana. Tulisoma naye. Shule alipata three.” “Mchungaji? Kweli watu wana utani na Mungu. Tuulize sisi tuliocheza nae.” “Jamaa kawa waziri? Kabebwa hakuna kitu pale. Shuleni...
1 Reactions
4 Replies
128 Views
Kijana mmoja wa Kiume alikuwa akipita nyumba moja hadi nyingine kulilisha tumbo lake lililokuwa na njaa, mwishoe akaamua kuomba chakula katika nyumba iliyofuata. Lakini Katika hiyo nyumba...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
JIFUNZE KUTAFASIRI MAZINGIRA,ISIWE NI KIPINDI CHA KUTOKA WEWE UNANG'ANG'ANIA KUBAKI ✍️ WENGI TULIZAMISHA KUBAKI SEHEMU TUNAZOTAKIWA KUTOKA TUKAISHIA KUPOTEZA MUDA NA HESHIMA 😔 MAZINGIRA...
5 Reactions
14 Replies
206 Views
Tukijipumzisha kidogo na haya yanayo tokea nchini hebu tujadili hii issue kama kutafsiri kile kinacho endelea. Katika kukuwa nilikuwa naskia huyu kijana, au huyu mtoto lazima aje aibadilishe hii...
6 Reactions
73 Replies
588 Views
MOROGORO: Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhe. Timotheo Mzava, ameitaka Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuongeza nguvu katika kuboresha na...
0 Reactions
1 Replies
83 Views
70% ya watizii sabuni twaogea,twafulia,twaoshea vyombo sabuni ya kipande a.k.a sabuni ya mche yakufulia na hazijawai kuleta shida ila watatokea wajuaji tu watashika soko na kuleta figisu
1 Reactions
14 Replies
148 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amekitaka Chama cha Wazee Wanaume Tanzania (CCWWT) kutokuwa chama cha harakati...
1 Reactions
1 Replies
64 Views
Mpaka sasa waliojiuzulu wadhifa wao tena wa ngazi juu ni wengi. Lakini hakuna hata mmoja ambaye alipokea vitisho au ilikuwa nongwa kwa yeye kujihudhuru. Kwa nini kwa Emmanuel Nchimbi kesi iwe...
7 Reactions
18 Replies
276 Views
Enyi watu! Enyi wanadamu dhaifu! Tetemekeni kwa sababu ya ujasiri wenu wa kupita kiasi mnapotamani, bila kuona wazi, kumiliki elimu iliyo ya kina sana. Inueni fikra zenu juu ya upeo wenu wenye...
2 Reactions
7 Replies
109 Views
Hakuna madhara ya moja kwa moja nimeyapata kupitia yeye. Ila niseme tu ukweli kwenye maisha yangu sikuwahi kumchukia mtu kuliko ninavyomchukia huyu mama abduli na genge lake. Ni heri nimuombee...
12 Reactions
25 Replies
498 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, pamoja na familia yake wameungana na waumini mbalimbali katika kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Jumapili, katika...
3 Reactions
15 Replies
404 Views
Tumeongeza idadi ya safari kati ya Dar es Salaam na Dodoma ili kukupa urahisi zaidi wa kupanga Safari zako kila siku. Sasa una fursa ya kuchagua muda unaokufaa, kagua ratiba kuona muda wa...
1 Reactions
1 Replies
109 Views
Hakuna kitu watesi wanakipenda kama historia. Utahukumiwa kwa maamuzi na maisha uliyoishi jana. Utatiwa unyonge kwa historia yako mwenyewe uamini kuwa maisha ya jana hayabadiliki na ukishakosea...
0 Reactions
1 Replies
64 Views
Kwa nini huwa tunawachukia watu fulani? Kwa nini mtu anaweza kukuambia kitu kidogo cha kukusaidia lakini ukakasirika na kumfutilia kabisa mbali na maisha yako? Nianze na hitimisho: Chuki kwa mtu...
1 Reactions
1 Replies
55 Views
Ndiyo kelele ni za maskini, Ila wenye pesa hawapigi kelele endeleeni kunichokoza Kelele zinapigwa na wanavyofanya Mi si tajiri na si tajiri sana ila ka bilion 2 sikosi kwenye majumuisho yangu...
13 Reactions
110 Replies
1K Views
Mimi, (jina lako), kiumbe nisiyestahili sana wa Bwana wetu Yesu Kristo, na mtumishi wa Mungu, nakuomba, nakuita, na kukuapisha, ee Roho, kwa maji +, hewa +, moto +, na ardhi +; na kwa kila kilicho...
0 Reactions
3 Replies
58 Views
  • Redirect
𝗝𝗨𝗕𝗜𝗟𝗘𝗜 𝗬𝗔 𝗠𝗜𝗔𝗞𝗔 𝟮𝟱 𝗬𝗔 𝗝𝗜𝗠𝗕𝗢 𝗞𝗔𝗧𝗢𝗟𝗜𝗞𝗜 𝗟𝗔 𝗠𝗣𝗔𝗡𝗗𝗔 Mgeni rasmi: Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 📆 Agosti 30, 2026. 🕰️ 3:00 Asubuhi. 📍 Mpanda, Katavi.
0 Reactions
– Replies
– Views
Unatamani sana kuwa karibu na viongozi wakubwa, wafanya biashara wakubwa. Au watu wa aina yoyote wenye mafanikio fulani. Uwe rafiki yao wa malengo, wakukubali na wawe miongoni mwa list ya watu...
1 Reactions
1 Replies
82 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…