Ndiyo habari iliyopo,wanawasiliana kama ndugu kila uchwao, kwa kuitana ""kaka na dada""kazi mnayo nyie vizabina zabina,mnaopenda biff.
""INAITWA CHENGA YA MWILI""
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imetawazwa tena kuwa Bodi Bora ya Utalii Afrika kwa mwaka 2026 (Africa’s Leading Tourist Board 2026), na hivyo kuifanya kuwa mara ya tano mfululizo Tanzania kushinda...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia Jackline Peter, mkazi wa Mji
Mdogo wa Katoro, Wilaya na Mkoa wa Geita, kwa tuhuma za kumshambulia kwa kutumia fimbo Rahel Jumanne, aliyemtuhumu kumwibia...
Mawasiliano ya mtandao wa WhatsApp yalitumika kutuma mamia ya mamilioni ya euro kwa fedha taslimu duniani kote, yakichangia uhalifu uliopangwa na ugaidi bila kumbukumbu ya karatasi, imetolewa na...
Wanafunzi wanaokosa kwenda kidato cha tano na sita huwa wanapangiwa vyuo.
Picha: Daily News
Ila nilichogundua mkakati huu unalundika wanafunzi wengi kusoma koz nyingi ambazo hazina athari...
Namshukuru Mungu nimeamka salama na tayari kwa majukumu ya siku mpya.
Nawatakia siku njema na yenye mafanikio. Kama unapitia changamoto yoyote, iwe afya, uchumi, familia au vinginevyo, Basi...
Wakati Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) ikitoa tahadhari kuhusu uwezekano wa mvua kubwa katika msimu wa Vuli wa Oktoba hadi Desemba 2026, swali muhimu kwa sasa si kama mvua zitanyesha, bali...
Kunavyokuunganisha na ulimwengu wa kuzimu na kuleta laana ndani yako, hakika upo karibu na majini wad amu
Wengi hutazama tendo la ngono kama furaha ya kimwili, lakini tumeshaona ni tendo la...
Utasikia njoo dm kwa maelezo zaidi,garama zetu ni nafuu sana,njoo dm nikutajie bei,tupigie tukuelekeze( hizi ni njia za kuwatapeli watu maana kila mtu akienda dm atatajiwa bei yake na atachekechwa...
ANGALIZO
Maelezo yaliyotolewa katika uzi huu ni kwa ajili ya kuelimisha na kutoa taarifa kwa umma na hayapaswi kutafsiriwa kama ushauri wa kisheria. Sheria za umiliki wa silaha zinaweza...
HATI ZA KIMILA: MKOMBOZI WA WANANCHI WA MELELA NA MIKESE MKOANI MOROGORO
Wananchi wa Vijiji vya Melela na Mikese mkoani Morogoro wameeleza furaha yao baada ya kupata Hati za Kimila, hatua...
Kuna kipindi nilikuwa naamini kwamba ili watu wakukubali ni lazima uwe karibu nao, uwashirikishe kila jambo na uzingatie maoni yao. Nilikuwa nahofia kuitwa mbinafsi, mwenye maringo au mtu...
Habari wanajamvi,
Naomba kufahamishwa ni gharama kiasi gani za ushuru na mapato ya TRA nitalazimika kulipa endapo nitanunua gari either mpya or used kutoka upande wa pili wa majirani zetu hapo...
Huyu mzungu anaetaka kuuza kisiwa hiki ni mmliki wa kisiwi? Je nani alihusika kuuza hicho kisiwa mali ya watanganyika ?
Kwamba kuna watu wachache wanajimilikisha visiwa na kuviuza kwa wazungu...
Nakupa uzoefu na facts muhimu sana. Mimi sina historia ya kukaa nyumba ya kupanga ambayo ni ya kushare wapangaji wengi. Niliwahi kukaa kwa miezi 5 tuu kipindi naanza kazi kwa mara ya kwanza. Baada...
Hivi udhaifu ni kile kitu ambacho tayari unakifahamu kuhusu wewe mwenyewe ?
Mfano, mtu anajua kwamba ana tabia fulani ambayo inajirudia kila siku na kila mara tabia hiyo inamuangusha au...