Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 2,742
- 5,088
Huyu mzungu anaetaka kuuza kisiwa hiki ni mmliki wa kisiwi? Je nani alihusika kuuza hicho kisiwa mali ya watanganyika ?
Kwamba kuna watu wachache wanajimilikisha visiwa na kuviuza kwa wazungu ndugai aliwahi kusema hii nchi utakuja kuuzwa sasa kama wameuza kisiwa na haiko documented mahali popote watashindwa kuuza bandari?