Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 702
- 632
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imetawazwa tena kuwa Bodi Bora ya Utalii Afrika kwa mwaka 2026 (Africa’s Leading Tourist Board 2026), na hivyo kuifanya kuwa mara ya tano mfululizo Tanzania kushinda tuzo hiyo katika World Travel Awards.
Kwa ujumla, Tanzania imeibuka mshindi katika vipengele vitano vikuu vya World Travel Awards 2026:
🏆 Bora Afrika kwa Vivutio vya Utalii (Leading Destination)
🏆 Bodi Bora ya Utalii Afrika (Leading Tourist Board)
🏆 Hifadhi Bora ya Taifa Afrika (Leading National Park)
🏆 Kivutio Bora cha Utalii Afrika (Leading Tourist Attraction)
🏆 Eneo Bora la Fukwe Afrika (Leading Beach Destination)