Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Anonymous
Mtaani kwetu hapa Kimara Mwisho karibu na Ukumbi maarufu wa Noble kuna ghorofa ambalo limetelekezwa na sasa lina dalili ya kuanguka. Tumeshawahi kuripoti katika Serikali ya Mtaa walifika na...
3 Reactions
13 Replies
285 Views
INTRODUCTION: Kwanza kabisa Mimi Mr. Liverpool ni mtumishi wa umma ndani ya Halmashauri kwa muda wa miaka 11. Miaka 5 nimekuwa Shule na 6 ndio kazini. Niko kwenye Halmashauri iliyo chaka sanaaa...
143 Reactions
441 Replies
40K Views
Kama utakuwa umewahi kufika katika Jiji la Dar es salaam Wiliya ya Kinondoni mitaa ya SKANSKA basi utakubaliana na mimi kuwa pale Mashimoni-Mtongani ndiyo mitaa yenye Waswahili wengi Kinondoni...
4 Reactions
8 Replies
155 Views
Anonymous
Kuna kitu najiuliza kuhusiana na vivuko pale ferry Kigamboni, kinachofanya kazi ni kimoja, vingine tunasikia vimeenda kutengenezwa Kenya, bado havijarudi, serikali inasubiri mpaka kizame ndiyo...
0 Reactions
0 Replies
31 Views
HUYU HAPA JAMAA ALIYEJARIBU KUIBIA FREEMASONS Huruma sio malezi. Ukijaribu kucheza na fedha za makundi ya siri ya dunia huku ukiwa na wazo la kuwapiga changa la macho, lazima utambue kuwa...
8 Reactions
23 Replies
718 Views
Anonymous
Inatusikitisha sana kuona serikali kutopunguza gharama za umeme kwa kujilinganisha na nchi zenye gharama kubwa za umeme, kwanini wasiangalie na zenye gharama ndogo?
0 Reactions
0 Replies
148 Views
Anonymous
Musoma Mjini, Mkoa wa Mara, kuna mitaa kama Rwamlimi, Bweri, Kiara, Kwangwa, Mshikamano, Nyakato na Songe ambako maji hayapatikani. Mamlaka ya Maji haijatoa taarifa yoyote, huku hospitali...
0 Reactions
0 Replies
44 Views
LAANA YA SHAMBA Palikuwa na shamba moja kubwa, zuri na lenye rutuba ya ajabu. 🌿 Shamba lile lilikuwa na kila aina ya mazao ya thamani. Udongo wake ulikuwa wenye nguvu, na kila aliyelima ndani...
2 Reactions
9 Replies
146 Views
Ni muhimu sana kuwa na mtu nyuma ambaye akipata shida wewe ndiye tegemeo lake pia hata wewe ukipata shida akili yako inamuwaza yeye kama ndo tegemeo. LAKINI je! Upo na watu wanaokufaaa au...
0 Reactions
2 Replies
106 Views
MUNGU HAWEZI KUKUOKOA MBELE YA MWANAMKE ALIYEAMUA KUKUANGAMIZA. UNAJUA NI KWA NINI? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hii ni siri hutokuja uambiwe popote. Na leo nitakuambia. Mungu anaweza...
6 Reactions
28 Replies
372 Views
Hii Nchi wanaume Wana mambo ya ajabu sana. 🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️
2 Reactions
19 Replies
346 Views
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kupitia kikao cha ufuatiliaji na uendelezaji wa bunifu za wabunifu vijana kilichofanyika leo tarehe 27 Agosti 2026 Jijini Dodoma, imesisitiza kuwa...
2 Reactions
1 Replies
87 Views
Katika kijiji cha Beldanga, kilichopo Wilaya ya Murshidabad nchini India, kuna kisa cha kusikitisha na kinachovuta hisia cha kijana mwenye umri wa miaka 16, Iqbal Sheikh. Kwa miaka mitano sasa...
2 Reactions
4 Replies
135 Views
Ndoa nyingi za zamani zilikua poa yaani bwana,bibi harusi na watoto wenu wawili au mmoja au bibi na katumbo kake mnaenda zenu kubariki tu mkirudi home mnakula ubwabwa,soda,pombe mnacheza ngoma au...
2 Reactions
5 Replies
75 Views
Ndiyo habari iliyopo,wanawasiliana kama ndugu kila uchwao, kwa kuitana ""kaka na dada""kazi mnayo nyie vizabina zabina,mnaopenda biff. ""INAITWA CHENGA YA MWILI""
2 Reactions
12 Replies
229 Views
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imetawazwa tena kuwa Bodi Bora ya Utalii Afrika kwa mwaka 2026 (Africa’s Leading Tourist Board 2026), na hivyo kuifanya kuwa mara ya tano mfululizo Tanzania kushinda...
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia Jackline Peter, mkazi wa Mji Mdogo wa Katoro, Wilaya na Mkoa wa Geita, kwa tuhuma za kumshambulia kwa kutumia fimbo Rahel Jumanne, aliyemtuhumu kumwibia...
2 Reactions
3 Replies
120 Views
Back
Top Bottom