Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,016
- 26,192
Kama utakuwa umewahi kufika katika Jiji la Dar es salaam Wiliya ya Kinondoni mitaa ya SKANSKA basi utakubaliana na mimi kuwa pale Mashimoni-Mtongani ndiyo mitaa yenye Waswahili wengi Kinondoni Nzima. Kila siku watu wanazidi kuongezeka , HAKUNA MPANGILIO WALA MPANGO.
2015 PALIKUWA PANACHIMBWA MAWE. SERIKALI ILIPASWA KUCHUA NA KUPIMA VIWANJA VYENYE ROBO HEKA NA NUSU HEKA NA KUWEKA BARABARA KUBWA AU BASI KUJENGA CHUO NA KITUO CHA POLISI.
NATUMAINI BADO SERIKALI INAWEZA KULICHUKUA HILI ENEO .