Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Taifa la Zimbabwe linashangaza sana walipofikia , uchumi wa nchiyao umeshuka mpaka sakafuni imagine Bank kuu inachapisha noti ya Trilioni na bado haitoshi kununua hata mkate dukani , Local...
1 Reactions
11 Replies
275 Views
Ndugu Mshana Jr naomba kuuliza kaka Yangu. Mimi by proffesional ni dereva Class A B D na E Nataka kujifunza lugha ya kichina ili kutumia Lugha kupata pesa zaidi. Je nikisema nataka kuwekeza...
4 Reactions
7 Replies
143 Views
Kupatikana kwa kaburi la pamoja lenye miili sita iliyofungwa na kufunikwa macho kusini magharibi mwa Guinea kumezua hofu na maswali mengi. Mashirika 20 ya kiraia barani Afrika yanaitaka serikali...
2 Reactions
3 Replies
89 Views
Kulikoni sinuoni FAM mdau mkubwa wa CDM?kortini kwenye kesi ya TAL? Nimewaza tuu Kwa SAUTI. GOD HAVE MERCY OVER SISI MALAWIANS
3 Reactions
13 Replies
265 Views
Mchezo uliopo sasa kila CCM na UVCCM wanahisi wanacho tumwa kuwa kinafanywa na upinzani. ila watambue CCM imefikia sasa mtashangaa pesa zimepotelea wapi na zimeama nchi gani. Singapore,dubai na...
1 Reactions
3 Replies
138 Views
Katika hali ya kawaida kabisa kuna vitu vinatokea maishani mpaka Unashindwa kupata jawabu... Vita ya kiroho ni moja ya vita mbaya sana. It weakens the soul. Mwili na akili vyote hushindwa kupata...
7 Reactions
32 Replies
338 Views
https://www.instagram.com/reel/Dcs2T6PJexM/?igsi=MXI0NWozdzNobm90aw==
3 Reactions
3 Replies
112 Views
Eti mtu anakudanganya kuwa aliacha kazi ili achome mahindi kweli? Kuna mwingine aliwahi kutudanganya eti aliacha kazi world bank ili akalime matikiti. Hawa jamaa huwa wanapata faida gani...
8 Reactions
13 Replies
165 Views
Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI) imesema kuwa asilimia kubwa ya wagonjwa wanaofika kwa ajili ya vipimo na uchunguzi wa saratani ya matiti hugundulika wakiwa tayari wamepata uvimbe, hali...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Kupitia ukurasa wake facebook, Askofu Benson Bagonza ameandika MALISA HAKUJIFICHA; ASIFICHWE Godlisten Malisa huwa hafichi maoni yake. Hafichi upendo na huruma yake kwa watu wote. Lakini pia...
0 Reactions
3 Replies
203 Views
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inautangazia Umma kuhusu fursa tano (5) za ufadhili wa masomo kwa Watanzania kwa ajili ya masomo ya Shahada ya Uzamili ya Miliki Ubunifu (Master of...
2 Reactions
1 Replies
129 Views
Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA), inapenda kuutaarifu Umma kuwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimefungua rasmi dirisha la maombi ya udahili wa masomo ya Shahada ya Uzamili ya Miliki...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
TANESCO Niliomba huduma toka mwezi 1-2026 mpaka sasa huduma hamna, hivi ni kwanini mnakuwa na maneno matam ila kwenye vitendo ni 0? Kuhusu ombi langu la kuunganishiwa umeme. Mchakato wa ombi...
1 Reactions
3 Replies
583 Views
Toshiba Aiwa Grundig Phillips Panasonic Toshiba Hitachi JVC
3 Reactions
6 Replies
257 Views
For majority part of my life, Nilikuwa najiuliza what's the point of all of this?? Sasa leo baada ya meditation na fasting ya kina. Jibu limekuja, Sio utambuzi wa kujua mimi ni nani, au kwa nini...
4 Reactions
16 Replies
170 Views
Mwenendo wote wa leo, Agosti 31, 2026 SEHEMU YA PILI Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu [Majaji wanaingia Mahakamani.] [Mheshimiwa Mnyika na Mheshimiwa Lissu wapo Mahakamani.] WAKILI WA...
0 Reactions
1 Replies
120 Views
VETA inatunuku vyeti vya udereva kwa mhitimu aliyefaulu mitihani na majaribio yanatotolewa katika ngazi ya chuo. Aidha, mbali na kuwa na cheti cha VETA, mhitimu anapaswa kukidhi tathmini ya...
1 Reactions
6 Replies
428 Views
Nina wasiwasi kuhusu mfumo wa utoaji wa leseni za udereva, ambao unaonekana kutokuwa na ukomo wa umri wa mtu kuendelea kuendesha gari. Kuna baadhi ya wazee ambao umri wao umeenda sana, pamoja na...
1 Reactions
16 Replies
262 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…