Nauliza tuu Kulikoni Freeman Mbowe?

Nauliza tuu Kulikoni Freeman Mbowe?

Alisha kula mpunga wake kitambo aiseee.....
Kwani haukumuona kwenye uzinduzi wa lile bwawa la kuzalisha umeme mwingi akijumuika nao..??
Kwani ulisha wahi kumuona mtuhumiwa wa kesi ya uhaini mara tu baada ya kuachiwa kwa kufutiwa kesi yake kisha akaenda kupewa pole ikulu...??
Enzi zake ulisha wahi kuona kwenye tafrani yeyote polisi wakikosea hata kwa bahati mbaya wakamjeruhi...??
Jiongeze mkuu....🤥
 
Duuuh mbingu tutaioba kwa shidaaaa
 
Siwalimtoa kwenye MRADI wake. Yule jamaa Alikula sana pesa za chama. Hata wale COVID-19 walikua MRADI wake. Halima mdee Atakua Anajua mchongo wa wao kwenda bungeni.
 
wale die-hard wafuasi wa FAM hawatakuja kurecover kwa mwenendo huu wa jamaa
Mwamba amejishushia status yake aliyoijenga kwa miaka kwa kasi sana, yeye alianzisha no reform no election kama geresha tu ili baadae waingie mezani na ccm ale mpunga wa kutosha lakini tundu lissu akaivalia njuga hapo ndo shida ikaanza na pia kushindwa uchaguzi kukamfanya aone sasa maslahi yake kwishnei kwakweli amevunja mioyo ya wapambania haki na mabadiliko ya kweli nchini, mbaya zaidi haonekani mahakamani ila kwenye hafla zinazowahusu ccm yupo mstari wa mbele, inahuzunisha sana
 
kaonekana kwenye dira 50 , bwawa la umeme nakisia mara ya 3 katika event kubwa yawezekana ni kutoka kwa TAL kama ataachiwa hivi karibuni, TAL kabadilisha sana mueleko pale chadema, na FAM kasaidia sana kuweka wazi uhalisia wa mambo kwa huu mwenendo wake maana angekua yupo karibu uhalisia usingekua wazi kama ulivyo sasa
 
FAM na TAL Wana itikadi tofauti, mmoja alikuwa ni mpinzani anayeng'ata na kupuliza na mmoja ni mpinzani asiyeyumbishwa au kutetereshwa na misimamo yake madhubuti iliyojaa ujasiri na nia ya kweli ya mabadiliko ya kuleta unafuu katika maisha ya wananchi na kupigania mifumo huru na ya haki kwa maslahi mapana ya jamii nzima
 
magugu lazima yajitenge
 
Back
Top Bottom