Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu, Kidume kizima unakuwa na nguo maalumu za kulalia? Yaani ukitoka kwenye mihangaiko yako ya kimaisha. Baada ya kupata dinner unaoga kisha unavaa nguo maalumu za kulalia ili iweje? Je! Nguo...
18 Reactions
67 Replies
770 Views
Mimi nadhani ukoo wetu wanatutumia wapige hela kikao cha siku moja nichange 30k kilo 4 za mchele kila mtu nyumban tupo 7 tuchange 210k na kilo 28 alafu siku moja tu ety usipoenda unategwa nawaza...
6 Reactions
34 Replies
307 Views
Kwa hali ya kisiasa iliyopo Tanganyika kwaasasa chochote kinachoweza kutumika kuwaweka wananchi busy wasahau kwa muda mambo ya kisiasa kinatumika vilivyo na kwa ukubwa wake Napo mwanzo wasanii na...
8 Reactions
30 Replies
486 Views
Mapango ya chini ya ardhi yakiwa na mamilioni ya makombe ya baharini , hakuna anayejua ni nani aliyeyajenga. Shell Grotto huko Margate, Kent, Uingereza, inasimama kama moja ya siri za kushangaza...
2 Reactions
15 Replies
958 Views
Mlioko ujombani tunaomba picha, hatakuwa jambo la kiungwana msipotuonyesha picha za ugeni ukiwa mgombani. Kwanza yuko wapi, Machame, Masama, Kibosho, Old Moshi-Uru, Marangu, Mwika au Rombo...
3 Reactions
11 Replies
227 Views
Habar za siku ya nane nane,na kwa wanasimba wenzangu leo ndio Ile sikukuu yetu ya kipekee kabisa,tuwe proud kuwa wanasimba daima NGUVU MOJA. Mara nyingi sana hapa jf utasikia kauli kama Watu...
16 Reactions
159 Replies
1K Views
Mimi naamini tungepambana sana kwa pamoja kuboresha maisha yetu. Akili za mwanadamu kufikiria kuna maisha mengine baada ya haya hapa duniani kunalemaza kutoshughulika na changamoto na hali...
4 Reactions
15 Replies
146 Views
Anonymous
Wadau mnakumbuka lile andiko la kuhusu Chuo cha Sheria Tanzania (Law School of Tanzania) kulalamika kuwa uamuzi wa chuo hicho kutangaza kuwa wanafunzi wote wa Kundi la 42 pamoja na Kundi la 40...
1 Reactions
4 Replies
126 Views
We dwell here not according to our will, but according to his divine plans. Baada ya tafakuri ya kina, nimepata jawabu ya kuwa sisi ni kama matawi na yeye ndiye mti wa uzima. Binadamu tunapenda...
1 Reactions
0 Replies
51 Views
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) umepata ushindi mkubwa na kutangazwa rasmi kuwa Kiwanja Bora Zaidi cha Ndege Barani Afrika 2026 (Africa's Leading Airport) katika tuzo za...
0 Reactions
5 Replies
187 Views
Wasauzi wengi wamekulia katika mazingira ya mitaa yenye uhuni na wahuni wengi, jambo ambalo limewaathiri sana kisaikolojia. Kwao, kila kitu huanza na pesa, hata mahusiano ya kawaida ya kirafiki...
7 Reactions
40 Replies
1K Views
Habari, katika siku za hivi karibuni baada ya NMB kutangaza kuwa wanafanya maboresho ya mifumo yao, nimeona malalamiko mengi kutoka kwa wateja kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii. Mimi pia...
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Ameandika Diwani wa Kata ya Bondeni Moshi mjini Haji Fundi Haji Leo Tarehe 01/09/2026 Nimepata fursa kama sehem ya familia kumpokea na kushiriki kumuombea Dua Mh. Makamu wa RAIS leo nyumbani...
0 Reactions
4 Replies
180 Views
Habari wanajamii, Naomba msaada wenu kuhusu jambo ambalo limekuwa likinipa hofu kwa muda naenda mwaka wa pili sasa. Nimekuwa nikiota ndoto zinazojirudia mara kwa mara kuhusu nyoka wa aina tofauti...
6 Reactions
17 Replies
210 Views
Kipekee kabisa nichukue nafasi hii kuwashuru wafuatao Mungu Mwenyezi baba wa mbinguni Wazazi wangu Familia yangu Ndugu zangu, jamaa na marafiki Members wote wa Jamii Forum Uongozi mzima wa Jamii...
55 Reactions
210 Replies
14K Views
Nimepokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya wafanyakazi wanaofanya kazi katika Kasulu Sugar Project, mradi wa kiwanda cha sukari unaojengwa Wilaya ya Kasulu, Mkoa wa Kigoma. Wanadai kukumbana na...
1 Reactions
1 Replies
255 Views
  • Redirect
Linaripoti gazeti la New york post(Marekani): Mshawishi maarufu wa mitandao ya kijamii anayeishi Santa Monica nchini Marekani na mwenye zaidi ya wafuasi milioni 10, anadai katika kesi mpya kwamba...
10 Reactions
– Replies
– Views
Acha kuogopa usiku wa manane! Muda wa hatari zaidi wa kupoteza akili, kufanya maamuzi ya hovyo, au kupishana na majini si saa saba usiku... Ni SAA SITA KAMILI ZA MCHANA! Unadhani wazee...
13 Reactions
41 Replies
915 Views
Huwa napata tabu sana wajomba wanapokua likizo na kuja kunitembelea mjomba wao huwa wanauliza maswali yasiyokuwa na majibu (majibu yenye ukakasi) Sana sana maswali wanayatoa kwenye topic ya...
29 Reactions
304 Replies
16K Views
Mdau, leo nigusie kidogo suala la uagizaji magari kutoka nje. Hasa haya ya Ujarumani. Wengi huagiza haya magari wakiamini huko lilikotoka lilimilikiwa na mtu mmoja. hapana hata kule kuna yard za...
2 Reactions
8 Replies
143 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…