Jamani umeme umekatika kila mahali ama ni huku madongo kuinama tu?
Nauliza maana it's been a while tokea umeme ukatike usiku alafu usirudi ndani ya muda mfupi 😵
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limebainisha mikakati na hatua mbalimbali zinazochukuliwa katika kukabiliana na changamoto ya uchafuzi wa mazingira utokanayo na kelele...
One thing about maisha ni kuwa haya rudi nyuma...
So kama present yako leo usipo iishi utakavyokuwa utakuja kui mourn au kuijuita mbele ya safari..
Binafsi katika utoto wangu sikuruhusiwa kuwa...
Taifa limeharibika vibaya sana,viongozi wanajiona ni miungu watu,wanamiliki uhai wa kila mtu,rushwa inanuka kila ofisi na ALIYEJIPA MADARAKA YA KUONGOZA NCHI KIHUNI NDIYE ANAHARARISHA,vyombo vya...
Baada ya kuamua kumfuata Mungu shetani anaoneshwa kukasirika...
Imagine, saying to yourself kuanzia leo na acha kitu fulani, only to get the temptation right infront of your face? Imagine saying...
Kuna kitu tunahitaji kuelewana hapa.
Mgonjwa anaingia maabara a.k.a hospital za kitaa, kabla hata hajamweleza vizuri Mpimaji aka daktari wa kitaa tatizo lake, tayari ameshajipangia:
“Nipime...
Guys there is no any excuse linapokuja swala la kujipendelea a k.a kujijali.Hakuna sababu yoyote ile ya kukufanya ushindwe kuenjoy maisha.Sio mwanamke sio watoto wako wa kuwazaa mwenyewe.
Be...
Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa mbalimbali za watu wanaoripotiwa kufariki kwa kujiua, huku sababu zinazotajwa zikitofautiana kutoka mtu mmoja hadi mwingine kama msongo wa mawazo...
ZAIDI ya Sh milioni 39 za fedha za Tonetone za CHADEMA zilitolewa kwenye akaunti kati ya Agosti 18 na 19, huku Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, akiiambia Mahakama kuwa hafahamu kuhusu...
Mkuu wa Majeshi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba, amezua gumzo kubwa leo tarehe 2 Septemba, 2026 baada ya kuandika ujumbe huo tata kupitia akaunti yake rasmi ya mtandao wa kijamii wa X...
Kuna kipindi unajikuta huna kazi, huna pesa, mipango imekwama na watu unaowategemea nao wako kimya. Unaweza kujiona kama umechelewa maisha.
Lakini ukweli ni kwamba, maisha hayana ratiba moja kwa...
Watu wa Dar waume kwa wanawake ni kama watu wa familia moja. Walio wengi wanaumbo mviringo kama kiazi ulaya!
Ningumu kujua kama mtu wa Dar anakwenda au anarudi, ngumu kujua mgongo ni upi na tumbo...
Hawa ni watu ambao kwenye utoto wao hawakuwa na watu waliowajali hivyo walijifunza drama ili kuwateka watu wawajali
Huwa hawana chochote kinachoweza kuwafanya watu wawajali na kuwafuatilia zaidi...
Kuna vitu vinashangaza sana na sijui ni wasomi kuwa wengi au hata sijui tu.
Sisi tumezaliwa na kukua tunalala pamoja tena pasina hata kujua kuna kulawitiana nk
Tukaenda shule maghetoni Bado...
People have been sold a lie that sounds like a comfort but acts like a cage: "God’s time is the best." It is time to ask the uncomfortable question: If time is a human measurement, why are we...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.