Wizara ya Maji
Govt Institution
- Oct 2, 2024
- 19
- 7
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amemteua Mhandisi Leonard Msenyele kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA). Mhe. Aweso amefanya uteuzi huo wakati wa kikao kazi na watendaji wa taasisi hiyo kilicholenga masuala ya utendaji ikiwemo utoaji wa huduma kwa wananchi.
“Watendaji waache kufanya kazi kwa mazoea kwani Dunia ya sasa inahitaji watendaji wanaofanyakazi na watakaoleta mabadilko chanya ” Aweso amesema.
View: https://www.instagram.com/p/DdBPxdvjeMY/?stkn=ODN1cnZzeHlnY2tn