Guys hii nchi kwa sasa ni kituko. Nchi ipo mikononi mwa watu wachache sana tena wendawazimu. Yaani watu wenye upeo mdogo wa akili ndo wanaongoza hii nchi aisee ni kituko. Raia wenyewe ni kituko...
Habari za muda huu
Kwa Maoni yangu Marehemu hata ukimuwahisha kumzika hakuna mahali anawahi hata pia ukimchelewesha kumzika naona yote sawa tuu
KARIBU OLKOKOLA ARUSHA
Wazazi wengi wana msongo wa mawazo kutokana na stress za kutafuta ada za shule za kina junior wao wanaosoma english medium eg. Atlas, Tusiime, etc. Muda wa kulipa ada ukifika mzazi anakuwa na...
Mfanyabiashara raia wa Uingereza na Nigeria, pamoja na influencer wa mitandao ya kijamii ambaye pia ni rafiki wa Davido, Igho Tiny Ubiribo, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 baada ya...
Juzi tuliKua na mtifuano kuhusu wale walio Rudi kutoka AFRIKA KUSINI, sikua na Nia mbaya hata Mimi napenda kwenda kuishi Dubai na ndio ndoto zangu kuishi hata kufia huko.
Ila tukirudi na uhalisia...
Moja ya kitu ambacho sisi wabongo tunajua vyema ni kumnafikiana..
Utakuwa kama mtu hakujui vyema, atakuita majina kama, boss, kiongozi, mkuu, kamanda.. And so forth..
Ila baada ya ku kujua au...
Limpopo, Afrika Kusini — Mchungaji Christ Penelope, mwanzilishi wa Seven Fold Holy Spirit Ministries, amekuwa gumzo baada ya kuhusishwa na njia isiyo ya kawaida ya kuwaombea waumini wanaotafuta...
Ni baada ya kumuomba sana na kumbembeleza.
Yeye akasema amechoka hawezi kuamka.
Lakini sikukata tamaa...nikazidi kupanga maneno ili anielewe,
Bila kufanya hivyo nisingeweza kupata usingizi...
Jambo ambalo lipo wazi hakuna watu WAONGO kama polisi wa Tanzania na ni kama uongo wao unalindwa na sheria .
Changamoto nyingine Polisi wengi wa Tanzania ni form four failures just as Muliro...
Yule jamaa aliyeonekana wakitoshana na traffic pale mwenye ni Daktari bingwa wa internal medicine,kwenye gari alikuwa ameweka koti jeupi nyuma ya kiti, wanajeshi wakamchukua, hatujui walimpeleka...
1. Nina mgonjwa wangu hivi karibuni amepoteza kumbukumbu, hanitambui kabisa, na ni ndugu wa damu, nakaa nae nyumbani kwangu.
2. Kuna muda anapata nguvu za ajabu anataka kupiga vijana wake, hata...
Hellow guys!
Napenda kuwakaribisha Great Thinkers.....
Katika MAHUBIRI ya hapa KATORO.....Yaliyoanza leo! na yataendelea kwa week 2.
Kupitia Hope Channel saa 17:00-20:00...
Kwa wale wapenzi wa muziki mzuri,
Nafikiri mnamjua Mariah Carey
Ni moja kati ya wasanii, hatari sana asiye imbwa ila ana vocals ambazo Sidhani kama kuna msanii anayeweza kumpiku, kwa hii...
Hati ya Utambulisho wa Kutotenda Kosa (Police Clearance Form) inatolewa kwa Sh 26,000 Arusha—Sh 10,000 kupitia Control Number na Sh 16,000 unampa Afisa Polisi mkononi.
Kwa nini hali hii ni...
Kwanza, nianze kwa kusema kwamba nimekuwa nikifuatilia kwa karibu kesi hiyo tangu siku ya kwanza Tundu Lissu alipofikishwa katika Mahakama ya Kisutu hadi sasa, ambapo kesi hiyo inaendelea...
Hoja ilipoanzia ~ Maeneo ya Stendi ya Mbezi Maramba, Darajani, korido la jengo la Abiria na Gereji (Stendi ya Magufuli) kunanuka mikojo
TAARIFA KWA UMMA
KUHUSU UFAFANUZI WA TAARIFA YA HARUFU YA...