Wala hakuna shida akifa mtu wako wa karibu kaa nae hata mwezi ndo umzike usiwahishe.Habari za muda huu
Kwa Maoni yangu Marehemu hata ukimuwahisha kumzika hakuna mahali anawahi hata pia ukimchelewesha kumzika naona yote sawa tuu
KARIBU OLKOKOLA ARUSHA
Waarabu wana utamaduni wa kuwahisha kuzika kwa sababu kwao jangwani, kuna joto, kihistoria zamani hakukuwa na namna nzuri ya kuhifadhi mwili.Habari za muda huu
Kwa Maoni yangu Marehemu hata ukimuwahisha kumzika hakuna mahali anawahi hata pia ukimchelewesha kumzika naona yote sawa tuu
KARIBU OLKOKOLA ARUSHA
Mfano mzuri ni AyatollahWaarabu wana utamaduni wa kuwahisha kuzika kwa sababu kwao jangwani, kuna joto, kihistoria zamani hakukuwa na namna nzuri ya kuhifadhi mwili.
Ukiangalia muktadha huo, utaona kuwahi kuzika kulikuwa na maana.
Tatizo watu wamekariri utamaduni wa watu hao, watu wa kale, wanafanya hivyo kidini hata leo katika muda na sehemu ambapo hatuna changamoto hizo.
Ayatollah ni Mshia yule mkuu 😂😂😂Mfano mzuri ni Ayatollah
😁😂🤣😅Habari za muda huu
Kwa Maoni yangu Marehemu hata ukimuwahisha kumzika hakuna mahali anawahi hata pia ukimchelewesha kumzika naona yote sawa tuu
KARIBU OLKOKOLA ARUSHA
Waarabu wana utamaduni wa kuwahisha kuzika kwa sababu kwao jangwani, kuna joto, kihistoria zamani hakukuwa na namna nzuri ya kuhifadhi mwili.
Ukiangalia muktadha huo, utaona kuwahi kuzika kulikuwa na maana.
Tatizo watu wamekariri utamaduni wa watu hao, watu wa kale, wanafanya hivyo kidini hata leo katika muda na sehemu ambapo hatuna changamoto hizo.
Ila, walipofariki pamoja Princess Diana na Dodi Al-Fayed katika ajali ya gari Paris, familia ya Dodi ilimzika mara moja mtoto wao, wakati Princess Diana alichelewa kidogo kuzikwa.
Malkia Elizabeth II alihojibsana kama utamaduni wa kuchelewa kuzika ni mzuri. Aliona ingefaa na wao wazije maoema kama famikia ya Al-Fayed.
Washia wao wapo tofauti mkuu??Ayatollah ni Mshia yule mkuu 😂😂😂
Shia mambo mengi wapo tofauti na Sunni.Washia wao wapo tofauti mkuu??
Mnapenda kuweka wafu tu. Mtu akishakufa dawa yake kubwa ni kumzika tu usijidanganye, kwani maiti ni maradhi tu hana chengineHabari za muda huu
Kwa Maoni yangu Marehemu hata ukimuwahisha kumzika hakuna mahali anawahi hata pia ukimchelewesha kumzika naona yote sawa tuu
KARIBU OLKOKOLA ARUSHA
Sawa sawa mkuu ngoja nifuatilie vizuri hili sikuwai kujuaShia mambo mengi wapo tofauti na Sunni.