Ndugu yangu fanya kazi kwa bidii pia ishi kwa utaratibu na sheria ambayo mumejiwekea katika eneo lako na nchi yako,
Hakuna nchi yeyote duniani ambayo usifanye kazi pesa itakufata ulipo.
Kuna...
Wazazi wa wenzenu walikuwa wanatafutia watoto wao ngawira walikuwa wanapambana huku na huko nyie wazazi wenu walikuwa wanakesha ma club wakijiona wajanja kuliko wazazi wengine, ona sasa nyie...
Kwa uzoefu tu Jamani watu wengi ni wasaliti sana.
Unaweza kumueleza kitu chochote ili upewe ushauri.
Cha ajabu ushauri hupewi bali utayasikia mtaani na hii inaumiza sana.
Sasa ni wapi Jamani...
Wakubwa naombeni msaada wenu.
Kaam kichwa chahabari kinavyojieleza, nimejaribu kuedit kwenye academic qualifications lakini naona vyeti vyangu bado viko vile vile, nimepiga simu huduma kwa wateja...
Kumekua na tabia ya idara za maji Tanzania, hasa MWANZA kutoa huduma ya maji saa nane au saa tisa za usiku.
Wananchi hawana maji siku 4 hadi siku 9, na siku mkiamua kuwapa maji basi ni usiku wa...
Acheni kuwachagulia Watoto wenu Fani ambazo nyie mmezifanya huku hadi kuwatishia kuwa wasipofuata basi mtawavulia Nguo zenu kwa Kuwalaani. Hivi inaingia Akilini kabisa Wewe Mzazi ni Injinia na...
Hii hospitali imetengenezwa kisasa kuanzia miundombinu, mpangilio na kila setting.
Vifaa vya kutosha na wahudumu wanaonekana kuwa na ari nzuri tofauti na tulivyosikia hapo nyuma.
Tukiachana na...
Mheshimiwa IGP (Mkuu wa jeshi la polisi) natumaini unaendelea vyema katika kipindi hiki ambacho ni kipindi kitakatifu kwa wakristo (quaresma) na pia ni kipindi tukufu kwa waislam (Ramadan). Amani...
Mgogoro wa madaraka Katika kanisa la Biblia Tanzania Kanda ya Kaskazini ,Sasa umefikia pabaya baada ya kundi linaloongozwa na Legius Nchimbi kuwasilisha nyaraka za kughushi za mabadiriko ya watia...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inaendelea na zoezi la kugawa vifaa vya maunganisho mapya ya huduma ya Majisafi kwa jumla ya wateja walioomba huduma ndani ya eneo...
Wanajukwaa ni mimi tu au wote! Jana nilimtuma mtoto akaninulie Azam Ukwaju zile za Jero Jero na kumwmabia aniwekee kwenye fridge! Cha ajabu naona kama ujazo umepungua! Ice Lolly za Ukwaju za Azam...
Chuo cha kampala kinadahili wanafunzi wengi kuliko capacity yake. Kwa mfano sisi mwaka wa kwanza ilitakiwa wachukue wanafunzi 150 tu lakini walichukua watu Mia tatu na kitu
Pili hakina walimu wa...
Hello JamiiForums,
Leo ni jumapili ya mwisho ya mwezi wa saba kwa mwaka 2024 siku muhimu na siku pekee kuhudhuria kanisani baada ya kuasi kwa takribani miaka sita.
Mungu ni mwema Mungu ni...
Nadhani mungu ni mwanaume,
Ktk uumbaji tunaambiwa Mungu alimuumba mwana adamu kwa mfano wqke, mtu wa kwanza kuumbwa ni adamu (mwanaume) kisha mbeleni huko akaumbwa hawa baada ya adam kuwa mpweke...
Morning members.
Nasema hivi kama mwanaume utakuwa na mwanamke mmoja utateseka mpaka ukome hap a duniani ni hilo tu.
Wenye wake wawili wanaenjoy sio kitoto.How fanya hivyo na mke mmoja au wawili...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Deogratius Ndejembi amewataka Menejimenti na watumishi wa Wizara ya Ardhi kuondoa urasimu na kutoa hati milki za ardhi kwa wakati.
“Tuondoe urasimu...
Kwa jinsi mashabiki wa mpira hapa bongo walivyojitolea maisha, akili, hisia, muda na rasilimali zao katika mpira kwa hakika tunaweza kusema mpira ni zaidi ya dini.
Watu wanalala na kuamka...
Naomba nifikishe changamoto ya wanafunzi wanaorudi masomoni baada ya kurejea chuoni.
Tunapitia magumu sana wakati wa kufanya usajili, kwani viongozi wengi hawawajibiki kabisa kutokana na kukosa...
Habari wadau.
Wazazi wengi tunasomesha watoto kwa kujibana, Tena shule za gharama. Tunakopa huku na huku tuwalipie ada. Nawakumbusha tu tukumbuke na kuwaandalia mitaji ya biashara wakimaliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.