Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naomba nifikishe changamoto ya wanafunzi wanaorudi masomoni baada ya kurejea chuoni. Tunapitia magumu sana wakati wa kufanya usajili, kwani viongozi wengi hawawajibiki kabisa kutokana na kukosa...
0 Reactions
1 Replies
584 Views
Habari wadau. Wazazi wengi tunasomesha watoto kwa kujibana, Tena shule za gharama. Tunakopa huku na huku tuwalipie ada. Nawakumbusha tu tukumbuke na kuwaandalia mitaji ya biashara wakimaliza...
12 Reactions
147 Replies
6K Views
Wadau hamjamboni nyote? Sina maneno mengi hebu wewe mwenyewe tazama kisha hizo jezi kisha baadaye ufanye tathmini Hakika utapiga saluti hata kama siyo askari Utapiga mluzi hata kama siyo...
1 Reactions
8 Replies
923 Views
Nataka niende hukohuko labda tutaelewana vizuri, tokea jumatatu nilituma milioni 3 na laki 2 kwenda account ya bank mpaka Leo haijafika, niliwapigia jumanne wakaniambia kuna shida ya mtandao...
9 Reactions
21 Replies
3K Views
Naamini kuna Watanzania wengi mliofika China inasemakana kipindi cha miaka ya 1960 tulikuwa sawa kimaendeleo. Hatua waliyofikia hawa watu hususani katika nyaja ya miundo mbinu, viwanda na...
11 Reactions
34 Replies
1K Views
Thadei Mbawala (48) mkazi wa mtaa wa Mji Mwema halmashauri ya mji wa Njombe ambaye ni dereva wa gari ya kampuni ya maji anadaiwa kufariki dunia ndani ya gari aliyokuwa amepaki nyumbani kwake...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Moja ya faragha kubwa y mtu ni simu, inavitu vingi ambavyo ni personal zaidi lakini kwa namna flani unaweza kuta ume access simu ya mtu anaweza kuwa mke jirani,rafiki, je uliwahi kuona nni cha...
13 Reactions
123 Replies
17K Views
Wasaalam. MTAKUWWA kirefu chake ni Mpango Kazi wa Taifa wa kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (wa kike na kiume). Awamu ya kwanza ulikuwa 2017/18-2021/22. Awamu ya 2 ni...
14 Reactions
57 Replies
3K Views
Barabara za jijini Dodoma inaonekana hazifanyiwi ushafi wowote maana hata ukipita barabara ya lami vumbi lake ni sawa na alitepita barabara ya vumbi tu. Najiuliza hizi uongozi wa jiji unashindwa...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Mwanaviwanda mwenye uthubutu mkubwa ktk uwekezaji mkubwa ktk viwanda Afrika na Tanzania tukiwa wafaidika. ✅Amejenga Afrika Kiwanda kikubwa cha Cement duniani..Akiwekeza mabilioni ya dola...
0 Reactions
1 Replies
376 Views
Mimi nj mdau wa muda mrefu wa unga wa ngano wa Azam. Lakini kwa sasa unga wenu umepungua sana ubora. Hauna ubora wa mwanzo umekua hauna quality umekua kama umechanganywa Na unga wa mahindi...
3 Reactions
3 Replies
595 Views
Kuna meseji zinatumwa kuhusu Zuia Uhalifu. Ni wazo zuri lakini sasa wahusika wanazituma mfululizo kwa sisi watumiaji wa simu na kutujazia inbox zetu sisi watumiaji wa mtandao wa tigo. Hii ni...
4 Reactions
9 Replies
576 Views
Wanafunzi wa chuo Kikuu Dar Es Salaam wanaoishi COICT hostel wamekuwa wakilalamika juu ya msimamizi wao wa hostel kuwa amekuwa akitumia madaraka yake vibaya kwa kutoa kauli chafu na kutishia kuwa...
1 Reactions
11 Replies
754 Views
Wadau naomba mnifahamishe, baada ya matumizi yoyote yale ya KIWEMBE na ukijiridhisha kuwa kimeisha matumizi yake unakihifadhi wapi?
2 Reactions
14 Replies
581 Views
Kwa nchi zilizoendelea, mtu kukaa gerezani humaanisha kukosa uhuru tu, lakini mahitaji mengine karibia yote ya muhimu huyapata. Watanzania waliowahi kufungwa gerezani nchini walishasimulia mikasa...
1 Reactions
18 Replies
940 Views
Mida ya kuanzia saa nane hadi muda huu kuna foleni kubwa sana kutoka kibaha hadi Ruvu. Kama unanjia mdadala tafadhali pita hiyo,au subiri kama si lazima kuondoka muda huu. Njia imefunga panda zote
1 Reactions
5 Replies
590 Views
Huyu ni jamaa nilikuwa nimesoma naye shule ya msingi na sekondari, huyu jamaa kweli alikuwa ana akili sana, sasa nimekutana naye juzi kati duh! maisha yake tuliotegemea ayaishi sio yale...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
KAZI NI ILE INAYOKUINGIZIA KIPATO. MAMA AU BABA WA NYUMBANI SIÔ KAZI KWANI HAKUNA KIPATO KINACHOZALISHWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Amri ya Mungu ya kufanya Kazi. Inahusu kufanya Kazi...
3 Reactions
58 Replies
2K Views
Back
Top Bottom