Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika dunia ya mahusiano ya kimapenzi, tofauti za umri kati ya wenzi ni jambo ambalo linaweza kuleta changamoto na fursa za kipekee. Utafiti wa kina umeonyesha kuwa tofauti hizi zinaweza kuathiri...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Team Jf, Salaàm! Ukiwa boda ya Rusumo kwenye mipaka ya TANZANIA na Rwanda wkt mwingine ni shida kupata mawasiliano kwa kutumia mitandao yetu i.e Vodacom, Airtel, Halotel, Tigo, TTCL nk Mtandao...
1 Reactions
1 Replies
431 Views
Naomba mtu anisaidie kukagua deni la gar namba ya gar ni T698 CUY Naona mtandao umegoma na kifurushi kinabeti leo.... natanguliza shukrani
2 Reactions
9 Replies
532 Views
Niko mikononi mwa Polisi Maisha yangu bado ni mikosi wote itikieni Afandee…. Wanabodi nianze kusema binafsi sifutahishwi na huu utaratibu wa polisi kusema mtu akipotea hawapokei taarifa chini ya...
1 Reactions
0 Replies
356 Views
Sina uhakika kama Kikwete alikuwa na ndoto ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Mwinyi alipomteua kuwa Mbunge na Waziri, alimfuata na kumwomba amwondolee uwaziri amwachie ubunge. Badala ya Mwinyi...
4 Reactions
7 Replies
572 Views
Tukio hilo limetokea Magomeni Kagera mtaa wa Ludewa karibu na msikiti wa Istikama ambapo binti wa kazi anayefahamika kama Anna alibakwa na kutumbukizwa kwenye shimo la choo na kijana anayefahamika...
12 Reactions
100 Replies
10K Views
Chama Cha Wanasheria Tanzania Bara - Tanganyika Law Society(TLS) iliandaa Warsha kwa Wanahabari Jijini Dodoma Tarehe 4 Juni 2024 kuhusu Uhuru wa kujieleza. Hapa chini ni andiko la Mwanahabari...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwili huzalisha sumu kutoka kwenye chakula unachokula , kugawanyika kwa chembe hai au chembe hai zinapokufa kutokana na umri. Sumu hii huitwa Free radicals ( reactive oxygen species). Unapoamka...
13 Reactions
31 Replies
3K Views
Wasalaaam Ndugu wengi wamekuwa na tabia ya kushindwa kukutembelea hususan kipindi ambacho hauna hali nzuri ya maisha kwa kisingizio kwamba unaishi mbali.... hivi ni kweli unakuwa unakaa mbali? au...
9 Reactions
45 Replies
1K Views
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuongeza uadilifu na kutenda haki katika utekelezaji wa majukumu yao sambamba na...
0 Reactions
3 Replies
516 Views
Jf wasaalam 🙏 Nina hoja kadhaa wa kadhaa naomba nisikilizwe na kupewa majawabu. Kwa Sasa tumeshuhudia wimbi kubwa la ma doctor hasa kwenye mitandao ya kijamii wakitumia Account zao kutupa elimu...
0 Reactions
3 Replies
418 Views
In 2015 I was invited by a group of final year students, then due to graduate from institutions of higher learning from the Dodoma area, to address them on their future prospects. Among other...
9 Reactions
19 Replies
3K Views
1. Wana mikia mifupi 2. Wana mlio kama wa Mluzi 3. Wamewala Panya wote wa Kitanzania wenye mikia mirefu 4. Hawategeki kwa Sumu yoyote na hata Ukiwakimbiza hawakuogopi na wanaondoka kwa mwendo...
29 Reactions
99 Replies
9K Views
Kwa hiyo Latra wanataka wasemaje? Aliyewaelewa atufafanulie. Swali: Serikali inasubiria nini Kuwekeza kwenye usafiri wa Treni Mjini ikiwa abiria wapo wa kutosha miaka 10 Sasa? ======== Dar es...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Wana jamvi? Naomba kutoa mawazo yangu kuwa Kuna jambo haliko sawa jijini Mwanza hususani swala la miundombinu. Jijini Mwanza hakuna miundombinu au barabara za kiwango cha jiji Kama ilivyo...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika. Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao. Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa...
20 Reactions
105 Replies
6K Views
Huko Afghanstan, mtoto wa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo kashakuwa Waziri kamili baada ya kutumikua Unaibu Waziri miaka mingi. Nawakumbusha tu, kwa siasa za Afghanstan huyu anaweza kuja kuwa Rais wa...
17 Reactions
42 Replies
3K Views
Akizungumza jijini Arusha Waziri wa Nchi, ofisi ya Rais- Uwekezaji na Mipango Prof. Kitila Mkumbo amesema kuwa Wanawake wanaishi umri mkubwa wa zaidi ya miaka 68 ikilinganishwa na Wanaume...
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Moja kwa moja kwenye mada ni wapi kuna machimbo ya jenga UZA...yeyote anaefahamu anakaribishwa kuchangia ili vijana wakachangamkie fursa maana ni muhimu sana kwa vijana wanaojitafuta bado ili...
0 Reactions
8 Replies
537 Views
Wadau hamjamboni nyote? Sabato njema wapendwa Leo nimesali Kanisa la Wasabato salasala Kuna ratiba ya ubatizo muda huu ila hali imekuwa tofauti kabisa na tulivyozoea kuwa wabatizwa wakila kiapo...
2 Reactions
5 Replies
579 Views
Back
Top Bottom