Mwanaume lazima uwe na wanawake wawili usalimike

Nguva Jike

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2018
Posts
1,303
Reaction score
1,884
Morning members.

Nasema hivi kama mwanaume utakuwa na mwanamke mmoja utateseka mpaka ukome hap a duniani ni hilo tu.

Wenye wake wawili wanaenjoy sio kitoto.How fanya hivyo na mke mmoja au wawili uone tofauti.
 
Mi kwa upande wangu kikwazo ni imani na uchumi ila kiukweli mke 1 sio bidhaa ya kumiliki hadi kifo

Wake wengi ndio utaratibu mzuri

Wazee wetu wa imani hawakuoa mke 1 labda kuanzia agano jipya ila İbrahim, Yakobo, Daudi, Suleman na wengine najuta kutowaiga upande wa kuoa
 
Kuoa wanawake zaidi ya mmoja ingekuwa dhambi basi hao wakina Ibrahim bila shaka Mungu angewakemea...kuna andiko ambalo lipo wazi ambalo sio la kuungaunga linalokataza kuoa mke zaidi ya mmoja?
 
Morning members.

Nasema hivi kama mwanaume utakuwa na mwanamke mmoja utateseka mpaka ukome hap a duniani ni hilo tu.

Wenye wake wawili wanaenjoy sio kitoto.How fanya hivyo na mke mmoja au wawili uone tofauti.
hili linajulikana
sema nini, warumi wametukalia kooni wanataka wenyewe kwa wenyewe tuhusiane
 
Morning members.

Nasema hivi kama mwanaume utakuwa na mwanamke mmoja utateseka mpaka ukome hap a duniani ni hilo tu.

Wenye wake wawili wanaenjoy sio kitoto.How fanya hivyo na mke mmoja au wawili uone tofauti.
Ni Mwanaume Juha ( Fool ) tu ndiyo ana Mke Mmoja / Wawili ila Mwanaume kamili lazima awe na Mademu kama 100.
 
Morning members.

Nasema hivi kama mwanaume utakuwa na mwanamke mmoja utateseka mpaka ukome hap a duniani ni hilo tu.

Wenye wake wawili wanaenjoy sio kitoto.How fanya hivyo na mke mmoja au wawili uone tofauti.
Ukimpata mmoja sahihi anatosha kabisa
 
Wao sasa wana wanaume kila kona..Boda, sokoni, buchani, mpaka rangi za kucha, muuza vijora, na kama ni mwajiriwa ana kidumu chake ofisini..
 
Hili jambo ni Zuri sanaa kwa kila mwanaume mwenye nguvu ya uume na Pesa uta enjoy sanaa hii dunia.
Unatakiwa uwe na wanawake watatu wanne hivi wenye Muonekano tofauti tofauti afu hapo mmojawapo akiwa kama Halfcast ndo pananoga zaidi
 
Ni angalau 2 kama hujiwezi kabisa. Ila ni angalau 4 kama uko vizuri.
 
Back
Top Bottom