Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kwanini Wokovu wa zamani ulikuwa wa Moto Wakati nikiwa kwenye kongamano la maombi la kitaifa la 18 linaloongozwa na Mwalimu Christopher Mwakasege. Wakati ibada zikiwa ziliendelea na wakati...
0 Reactions
0 Replies
12 Views
Kuna haja ya kutathmini upya ubora wa elimu inayotolewa na vyuo vyetu vingi vya kati na vya juu. Tumekuwa na utaratibu wa kuamini kuwa kijana anapomaliza chuo anakuwa mtaalamu aliyekamilika...
5 Reactions
7 Replies
76 Views
Ameandika Juma Kiaramba na hapa namnukuu "Namshukuru Waziri wa Uchukuzi Mh. Prof. Makame Mbarawa (Mb) kwa imani kubwa kwangu kuniteua kuwa mjumbe wa baraza la ushauri la watumiaji wa huduma za...
0 Reactions
0 Replies
17 Views
Miaka ya mwisho wa miaka ya 2000 na mwanzoni wa miaka 2010, kulitokea vikundi vingi vya mtaani vya uharifu ambavyo vilipelekea machafuko sana mitaani mjini mombasa. Mombasa pia ni sehemu yenye...
2 Reactions
1 Replies
41 Views
Maisha ni technique, hakuna roho yoyote inayoendesha maisha yenu ya kuwasaidia katika tabu au kuwaadhibu wanaowafanyia vita Maisha ya mshindi ndugu zangu, aliejaa juu ndio anatunga sheria, hakuna...
0 Reactions
0 Replies
15 Views
Nawashangaa wanao dai eti Makamu wa Rais ndg. Ndejembi bado kijana sana hivyo na fasi hiyo angeteuliwa mtu mzima aliye komaa. Sasa tuangalie kwenye Taifa kubwa kama Marekani, Makamu wake wa Rais...
0 Reactions
16 Replies
132 Views
Angalia ukatili dhidi ya wadada wa kazi. Tazama video hii ya mfanyakazi akipigwa fimbo na bosi wake akidai amemuibia hela, kisha kuamua kupiga mbele ya mwanae na mwisho wake akamfukuza nyumbani...
3 Reactions
34 Replies
386 Views
Hii barabara haikamiliki hata kidogo, kibaya zaidi wanajenga na kuchimba mashimo makubwa Kibaya zaidi baadhi ya vijipande wameminya njia na rest zinatengenezwa kama Garden na kuwekwa peving? In...
2 Reactions
10 Replies
58 Views
Nikiwaza mustakabali wa taifa hili, afisa kipenyo, mh. Muwekezaji wa mabnda ya chips dar na mikoani, mlimaji wa ufuta na mpunga, mshauri mzuri na mwanadiplomasia nimetulia nikipata chakula cha...
3 Reactions
16 Replies
116 Views
Kipindi Nchimbi anazungumzia suala la wananchi kupambania katiba mpya wadau wengi humu walidai ni tamthilia chama tawala kinafanya na EN ni muigizaji tu... Wakasema wakitaka waamini kama kweli...
12 Reactions
12 Replies
193 Views
Darasa la saba wakiwa wanamaliza, madalali wa kisukuma wamekita kambi lake zone kuchukua mabinti wa kazi. Madalali hao wanakupigia simu utume nauli, anakuletea mtoto ambaye kwanza ana uwezo wa...
3 Reactions
2 Replies
65 Views
Kuna Wasichana na Wanawake Wagalatia zaidi ya Watano nawafahamu wote sasa hivi wanavaa ushungi!
11 Reactions
143 Replies
2K Views
Acha marafiki fake waende Mwache muigizaji aende, Mwache kausha damu aende. Ziache tabia mbaya ziende, Acha past yako iende, Acha kazi isiyo na hadhi iende. Acha "wewe" yule...
0 Reactions
2 Replies
41 Views
Kila safari ya uongozi huanza na hatua moja na kwa Deogratius John Ndejembi, hatua hiyo imejengwa kwa miaka ya uzoefu, utumishi na majukumu mbalimbali katika uongozi wa umma. Kutoka katika ngazi...
0 Reactions
0 Replies
23 Views
Halmashauri ya Mji Mafinga inapenda kutoa ufafanuzi kwa Umma kuhusu taarifa iliyotolewa na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mji Mafinga, Dkt. Victor Msafiri, katika mkutano wa hadhara wa Mbunge wa...
0 Reactions
1 Replies
62 Views
Mjini shule. Ndivyo unavyoweza kusema. Ukija mjini njoo na akili usije na jembe. Huku mjini ni mahali pa kutumia akili zaidi kuliko nguvu. Kuna aina mpya ya utapeli imeibuka hapa mjini kupitia...
19 Reactions
113 Replies
1K Views
Wanabodi: Niwaletee mkasa huu wa kipekee unahusiana na pilika pilika za kujikinga na COVID-19 umemtokea jamaa yangu Jumapili ya tarehe 19/04/2020 akiwa Kanisani kwake Muhimu: Uzi huu unawafaa...
15 Reactions
3K Replies
168K Views
Watoto ni matokeo ya ngono, Na wala sio baraka wala zawadi kutoka kwa Mungu yeyote. Ndiyo maana “slay queens ” wanatafuta pesa ili kutoa mimba, wakati mke mgumba wa mchungaji anatafuta mtoto kwa...
27 Reactions
257 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…